Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.
wameongeza majina mkuu ya walimu wa sanaa na biashara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.
Tafadhali nope link maana nina bp plz sipo saw a Mimi ni mwl. art diploma
Asee hilo file halifunguki kabisa
Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015. | Pmoralg - Tanzania
Ila kwa Arts subiri kidogo, bado listi yenu haijawekwa
Mbona mm inanizingua
Tafadhali nope link maana nina bp plz sipo saw a Mimi ni mwl. art diploma
Weka link acha mboyoyo
leo mtataja siri zote!
ajira zimetoka ula kwa walimu wa masomo ya Sayansi Shahada na Stashahada tu
Walimu wa masomo ya Arts muwe na Subira kidogo
********************
Habarini naona humu mnaongelea kwa walimu ngazi ya diploma na degree sasa sisi wa certificate vipi? Naombeni majina sababu seva za tamisemi naona hazijiwezi! Website yao inazingua mwenye majina atupie hapa plz