Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.

wameongeza majina mkuu ya walimu wa sanaa na biashara!
 
Bado hawajaweka hilo file, kuna dead link tu pale
 
ajira zimetoka ula kwa walimu wa masomo ya Sayansi Shahada na Stashahada tu

Walimu wa masomo ya Arts muwe na Subira kidogo
********************

mbona niki download hayo majina yanazingua kufunguka kwan nyie mna download vp wadau
 
Habarini naona humu mnaongelea kwa walimu ngazi ya diploma na degree sasa sisi wa certificate vipi? Naombeni majina sababu seva za tamisemi naona hazijiwezi! Website yao inazingua mwenye majina atupie hapa plz

ingia www.------------------------ ya certificate na walimu wa sayansi yalikuwa huko mapema leo asubuhi hebu jrb!
 
Habarini naona humu mnaongelea kwa walimu ngazi ya diploma na degree sasa sisi wa certificate vipi? Naombeni majina sababu seva za tamisemi naona hazijiwezi! Website yao inazingua mwenye majina atupie hapa plz

maswayetu blogspot
 
Back
Top Bottom