Nasikia sayansi tuuu
ila mbona ni cheti na science tu au wengine bado?
acheni kutuweka roho juu,mbona cion au mm nko analogia nn
Arts watapangiwa kazi nyingine.
That means trouble[/QUOTE
Dah imebidi nicheke! More than trouble Niko hapa naulizwa nashindwa kujibu nasema bado asa wakitangaza jioni ndio kila mtu atajua.