Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

daaah sasa ngoja nifungue miladi ya biashara.
nlizani utani kumbe kweli.
 
Leo kaz ipo hapa. "Ingia ingia hapa...." ztakuwa nyingi sana.
 
mtandao upo busy sana..
kwa alieishapakua majina atupatie jamani
 
Habari yenu kwa mnaoangalia majina ya walimu kupitia blog ya MASWAYETU BLOG kutokana na TAMISEMI kuwa overloaded ukiingia bonyeza home page ku refresh ili uyaone maina yote ya ualimu arts na sayansi pia na biashara thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…