MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Tayari na ya sanaa na biashara wameweka
Ninayo PDF ya walimu wa sanaa na biashara. Degree na diploma
Kwa bahati mbaya cjui namna ya kuiupload anayejua anielekeze ili niiweke watu waache kuangaika
Tangazo
Nimedownlad but siioni maelekezo please nayapata kwa wap?
Wakuu Mimi nilisup somo moja nikaclear lakin kwenye hizi ajira sipo hata wenzangu niliosup siwaoni kuna mwenye lolote kuhusu sisi nijulishen tafadhali
mbona wenzio wamepata! labda chuo chako tu!
Wakuu Mimi nilisup somo moja nikaclear lakin kwenye hizi ajira sipo hata wenzangu niliosup siwaoni kuna mwenye lolote kuhusu sisi nijulishen tafadhali
Daah!! God is Great!! Leo cjaonekana.humu muda mrefu kutojana na furaha, Naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao tulipishana viswahili kutokana na stress za ajira...kwn haikuwa akili yangu...Pia nmewasamehe walionikera na kunikatisha tamaa pia...sasa hivi naanza kukopa nauli trh 1 Chamwino Dodoma....
Mungu awe nanyi daima!!!