Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Ninayo PDF ya walimu wa sanaa na biashara. Degree na diploma
Kwa bahati mbaya cjui namna ya kuiupload anayejua anielekeze ili niiweke watu waache kuangaika

Anglia jina Kichulungu arts degree kaka nitumie 0759817774
 
Wakuu kutokana na Website ya TAMISEMI kuwa down nimeona ni vema kuwawekea hapa attachement za majina ya waalimu waliopangiwa Vituo vya kazi..

Tangazo
attachment.php
 
Attachments

Tunashukuru sana kwani mwanangu alikuwa na tension mno.
 
Jamani nichekieni hawa ndugu zangu kwenye category ya walimu wa shahada science,wote wamesoma udsm
1.George furushi
2.jackson mbwafu.
 
Wakuu Mimi nilisup somo moja nikaclear lakin kwenye hizi ajira sipo hata wenzangu niliosup siwaoni kuna mwenye lolote kuhusu sisi nijulishen tafadhali
 
Wakuu Mimi nilisup somo moja nikaclear lakin kwenye hizi ajira sipo hata wenzangu niliosup siwaoni kuna mwenye lolote kuhusu sisi nijulishen tafadhali

kuna aliyeniambia kuwa page zipo 305 ila zilizofunguka ni page 291,kwa hiyo subiri page zote zifunguke,upo mkuu.
 
Daah!! God is Great!! Leo cjaonekana.humu muda mrefu kutojana na furaha, Naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao tulipishana viswahili kutokana na stress za ajira...kwn haikuwa akili yangu...Pia nmewasamehe walionikera na kunikatisha tamaa pia...sasa hivi naanza kukopa nauli trh 1 Chamwino Dodoma....
Mungu awe nanyi daima!!!
 
Hongera
 
xamahanin wana jr humu ndan naomba mniangalizie majina ya wa2 hawa wawili kwa ngaz certificate mniambie wamepangiwa v2o gan, YACOB G.LYANGA na JOSEPHAT LUCAS MANGU
 
xamahanin wana jf humu ndan naomba mniangalizie majina ya wa2 hawa wawili kwa ngaz certificate mniambie wamepangiwa v2o gan, YACOB G.LYANGA na JOSEPHAT LUCAS MANGU
 
Back
Top Bottom