Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Habari yenu kwa mnaoangalia majina ya walimu kupitia blog ya MASWAYETU BLOG kutokana na TAMISEMI kuwa overloaded ukiingia bonyeza home page ku refresh ili uyaone maina yote ya ualimu arts na sayansi pia na biashara thanks

hahahahah wabongo kwa kupenda pesa... eti uchangie sh.1000 pia utume jina lako ndo wakutajie post yako.
 
majina yote yapo sayansi na arts. kwenye tangazo mpaka mafundi sanifu maabara wapo.ingawa idadi imepungua ila wote arts,sayansi,labo technians ajira zipo.
ninachogundua ni kwamba web yao inUPDate kimokimoja.
ilianza na s/m wakaja sayansi na sasa arts na biashara tayari.maabara bado.
mimi nmeshadownload cheti na sayansi.nashindwa kutuma hapa.
kama uko interested nitumie namba yako whatsap 0767791405 nikutumie pdf au nikuangalizie jina.
NOTE;: Nina chet na sayansi tu mpaka sasa.
HONGERENI AMBAO MMEPATA AJIRA KACHAPEN KAZI
 
Kama una nia ya kuwasaidia kweli si ufanye ku upload hizo files hapa ndugu maana kuna ndugu nataka nimchekie lakini naona mtandao wao umezidiwa sana
 
Niangalizie watu hawa kimeo chamgu hakifungui
DITRICK EVODIO
Andruda Mbifile
Stahashahada
Na Twaib Anania huyu ni shahada
 
majina yote yapo sayansi na arts. kwenye tangazo
mpaka mafundi sanifu maabara wapo.ingawa idadi
imepungua ila wote arts,sayansi,labo technians
ajira zipo.
ninachogundua ni kwamba web yao inUPDate
kimokimoja.
ilianza na s/m wakaja sayansi na sasa arts na
biashara tayari.maabara bado.
mimi nmeshadownload cheti na sayansi.nashindwa
kutuma hapa.
kama uko interested nitumie namba yako whatsap
0767791405 nikutumie pdf au nikuangalizie jina.
NOTE;: Nina chet na sayansi tu mpaka sasa.
HONGERENI AMBAO MMEPATA AJIRA KACHAPEN
KAZI
 
Habari yenu kwa mnaoangalia majina ya walimu kupitia blog ya MASWAYETU BLOG kutokana na TAMISEMI kuwa overloaded ukiingia bonyeza home page ku refresh ili uyaone maina yote ya ualimu arts na sayansi pia na biashara thanks
Kama kawaida yetu maswayetu blog tunakuletea majina
ya ajira mpya za walimu 2015/16 ,endapo utataka kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO.PAUL PAUL (AJIRA UALIMU)
2.HUDUMA HII ITAKUGHARIMU TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA 0768260834 AU TIGO PESA KWENDA 0652740927
3. TUTAKUJIBU NDANI YA DK.MOJA TU.
4.USIPIGE SIMU,LAINI INATUMIKA KWENYE MODEM
5.TUMA PESA KWANZA UJIBIWE

ukimaliza lipia na kodi kabisa basi

 



You tried to access the address
http://www.pmoralg.go.tz/
noticeboard/
tangazo-1032-20150426-Ajira-
Mpya-za-Walimu-Mwaka-2015/
PLACEMENT_CERTIFICATE_27April15.pdf ,
which is currently unavailable. Please
make sure that the web address
(URL) is correctly spelled and
punctuated, then try reloading the
page.
Request timed out while loading
"http://www.pmoralg.go.tz/
noticeboard/
tangazo-1032-20150426-Ajira-
Mpya-za-Walimu-Mwaka-2015/
PLACEMENT_CERTIFICATE_27April15.pdf"
 
Back
Top Bottom