Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

nimefanikiwa kupata ya walimu wa sayansi na cheti tuu kwa sasa. arts na biashara bado wanazingua
 
angalia link chini ya walimu waliopangiwa vituo kwa mwaka 2015/16
 
Mwenye file hilo la dip na degree kwa arts atuwekee ili tuachane na website yao ambayo imekuwa busy hadi kuchoka
 
kwa cheti na sayansi tu ndo ninayo nipigie
nikutajie kituo chako.
FREEEEEEEER FREEEEE.
0767791405
 
Nimepata tetesi kuwa jamaa wamelibana hilo fail makusudi tunsi unajua idadi kubwa ya ajira ndo ipo humo.
 
Ninayo PDF ya walimu wa sanaa na biashara. Degree na diploma
Kwa bahati mbaya cjui namna ya kuiupload anayejua anielekeze ili niiweke watu waache kuangaika
 
Ninayo PDF ya walimu wa sanaa na biashara. Degree na diploma
Kwa bahati mbaya cjui namna ya kuiupload anayejua anielekeze ili niiweke watu waache kuangaika

Kwel,? unavosend post kwa chni c uliona attach? bas bofya hapo hapo then itakua poa.
 
Ninayo PDF ya walimu wa sanaa na biashara. Degree na diploma
Kwa bahati mbaya cjui namna ya kuiupload anayejua anielekeze ili niiweke watu waache kuangaika

Ntumie kwenye email, halafu nitaiweka hapa fasta uhuruwangu@gmail.com
 
Kuna mtu anaitwa mkalenda kaishaweka hebu chekin kwenye post mpya humu jukwaani
 
Wakuu naweza kuwasaidia chap chap mpaka tisa kamili,Arts Dip na degree,andika full name.Kuweka hapa limegoma
 
Back
Top Bottom