OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Magufuli ndiye raisi mtarajiwa wa tanzania na atashinda kwa kishindo
Lowassa is a dead case!!!
Hajawa rais bado kama sikosei, tutayaongea haya baada ya Oktoba 25.Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
Na kama unaandika ili wengine wasijue basi haina maana ya kuweka hapa
Unatakiwa Uwe Na Akili Siyo Ya Kuzaliwa Bali Na Ya Ziada Kuweza Kujua Ninachokiandika Na Ni Bahati Sana Wewe Ni Pentium Zero Haswa!
Asante... ila
"The better you feel about yourself, the less you feel the need to show off."
― Robert Hand
aisee "popo-ma" kuna bandiko/post moja uliwahi kumuongelea mteuliwa wako ccm ambaye angekuja kuteuliwa kugombea uraisi.naitafuta sana ili ni-refresh kumbukumbu zangu.nipe link yake kiroho safi tafadhari.
kila siku.hata sasa hivi navuta.nipo hapa graveyard nyuma ya ukuta wa usalama wa taifa,kama unaelekea TSJ.Na Wewe Umeanza Kuvuta Bangi Lini?
Magufuri ni mzuri ila maamuzi yake yataumiza wengi ingawa tutapata maendeleo
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya kambarage atakuwa wazi
mark my ward
hilo ndilo tatizo la watu wa CCM, swali umelielewa? usitufanye watu wote hapa hatuelewi kama wewe, tumeona mikauli tofauti pale na maandamano, je wale wote tayari wameshusha mikono? jibu swali tu, mkeo, mumeo yote hayo ya nini?
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
kila siku.hata sasa hivi navuta.nipo hapa graveyard nyuma ya ukuta wa usalama wa taifa,kama unaelekea TSJ.
mkuu kadoda11 kumbe ndo wewe ulikuwa unalipuliza?Nimepita hapo kama dakika 20,nikasikia harufu kali ya bange.
SAHIHISHO: mkuu sio TSJ,ni SJMC