Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

WALIOPELEKWA HOSPITALI

1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548

6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776

6. PROTAS MUSSA - 38YRS NGARA
7. AMOS SKOTH 38YRS MWANZA
8. GRACE RUGAMBWA - 67YRS NYAKANYASI BUKOBA -MUHSYA-MUUGUZI MSTAAFU-MKRISTO-0755016680

9. AMINA ABDALLAH KARWANDIRA 62YRS BUKOBA NYAKANYASI- MUHAYA -MUISLAM- MAMA WA NYUMBANI- 0628 749070

10. REVINA THEONEST RUTINDA 29YRS-KAGERA SUGAR-PROCCESSING ENGINEER-MUHAYA-MKRISTO- 0754588634 HOME GEITA(MWMA WA EMILI).

12. EMILI VICTOR MWESIGA 1.3 YRS -MUHAYA-KAGERA SUGAR

14. JESCA JULIUS TITUS 27YRS DSM - MUHA - MKRISTO PENTECOSTAL -NESI BY PROFESSIONAL. 0753953702
15. ZANGLIN 30YRS DSM (MCHINA)-CIVIL ENGINEER-0788453998

14. RICHARD KOMBA 42yrs-MMATENGO-MKURUGEBZI KAGERA TEA COMPANY MARUKU- 0756902081

15. EMMANUEL AMANI 28yrs MWANZA
16. NIKSON JACKSON KAWICHE 35YRS from DSM-ADITOR MDH-MCHAGA-MKRISTO-0742361210/071389942

17. SALEH OMARY 46YRS - MLIGURU-0789530136-SONARA-KIPAWA KARAKATA-
18. EDWIN BITEGEKO 33YRS DSM BANKER CRDB HQ TABATA-MUHAYA-MKRISTO-0755920587/0719124576

19. EVA DICKSON MCHARO 38YRS SENGEREMA MWANZA-MPARE-MKRISTO-PCCB SENGEREMA-0766847175

21. JOSEPHINE JOSEPH MWAKISAMBWA 34YRS MBEYA ANAISHI DAR-DKT-MKRISTO-MNYAKYUKYUSA-0762415551

21. THEODORA STANSLAYS MPESHA 46yrs ANAISHI DSM-MWASIBU DSM-MKRISTO-MUHAYA-0754841044

22. JOSEPH LAURENCE MBAGO 57YRS BOT ANAISHI DSM-MKRISTO-MBONDEI

WAHUDUMU

1. BRENDA SELVULI TEMBA 23YRS DSM-MCHAGA-MKRISTO-0686929264-AIR HOSTRESS PRECISION

2. LYDIA IBRAHIM RAMADHAN- 25YRS-MDIGO-MKRISTO- DSM AIR HOSTRESS PRECISION-0717800570

NB. WANAUME 16, WANAWAKE 9 NA MTOTO 1(ME)

MAJINA YA WALIOFARIKI DUNIA.

1. ATULINDE BITEYA
2. ANETH BITEYA
3. NEEMA FARAJA
4. HANIFA HAMZA
5.ANETH KAAYA
6.VICTOR LAUREAN
7. SAID MALAT LYANGANA
8.IMAN PAUL
9. FARAJI YUSUPH
10.LIN ZHANG
11.SAULI EPIMARK
12.ZACHARIA MLACHA
13.EUNICE NDIRANGU
14.MTANI NJEGERE
15. ZAITUNI SHILLAH
16.DR. ALICE SIMWINGA

17. BURUANI LUBAGA - RUBANI
18.PETER ODHIAMBO - FIRST OFFICER.
 
Hao wote wangejua kuwa watakufa Jana, wasingesafiri, aise tujiandae maana duniani hapa tunapita, hapo tiyari hukumu imefanyika wa kwenda motoni na ambao wameenda mbinguni tiyari walishakuwa wenyeji huko!!

Waebrania 9:27
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;

Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
Marko 9:43
Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima u kigutu, kuliko kuwa na mikono miwili, na kwenda zako jehanum, kwenye moto usiozimika; [

Marko 9:44
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]

Marko 9:45
Na mguu wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima, u kiwete, kuliko kuwa na miguu miwili, na kutupwa katika jehanum; [

Marko 9:46

Marko 9:47
Na jicho lako likikukosesha, ling’oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum;

Marko 9:48
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.
Ufunuo wa Yohana 14:11
Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

Nashauri wakuu tujiandae , tusibweteke na dunia, hii dunia inatudanganya Sana, lakini ukweli ni kwamba duniani sisi ni wapitaji!!
 
Mungu wenu ameshindwa kuwaokoa, mpaka wavuvi wamewaokoa,

Mtu anakunywa maji huku akiomba mungu na bado Mungu hampi msaada wowote mpaka anakufa. Bado mnasema mungu ana nguvu.
Au hili nalo linahitaji macho ya kiroho?
 
Mmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.

imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Ww ni Illuminati au? ....Ni Mungu pekee anayekulinda hapo ulipo na kila kinachotokea bs kimepangwa kuwa Ivo
 
Mmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.

imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mjinga wewe
1446634139814.jpg
 
Mungu wenu ameshindwa kuwaokoa, mpaka wavuvi wamewaokoa,

Mtu anakunywa maji huku akiomba mungu na bado Mungu hampi msaada wowote mpaka anakufa. Bado mnasema mungu ana nguvu.
Au hili nalo linahitaji macho ya kiroho?
MUNGU ameruhusu kifo ni moja ya sehemu ya ukamilifu wa uumbaji wake. Lazima tufe ili maisha yaendelee duniani.

Hata kuku na mbuzi tunaochinja huwa wanalia, huenda wanamlilia MUNGU awasaidie na kisu ila hatokei.
 
Kifo kipo tu mkuu!! Kikubwa ni kujiandaa kwamba baada ya kufa unaenda wapi???? Sio kwamba kwa kuwa umeomba Mungu hajakusaidia ndo useme kuwa Mungu wako hayupo!!

Ufunuo wa Yohana 14:13
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Mmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.

imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.

Are you serious?
 
Mi nalindwa na pesa zangu, Mungu ni mpigaji tu.
Unajifariji mkuu! Nafsi yako ni mhimu kuliko hizo pesa zako, kifo kitakujia siku usiyoitarajia na hizo pesa zako hazitakusaidia
Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

Marko 8:37
Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?
Wewe unafikiri waliokufa kwenye hiyo ajali hawakuwa na pesa???

Sefania 1:18
Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, ukomo wa kutisha.

Usiwe kipofu mkuu!!!
 
Mmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.

imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mbona umeandika ujinga we mtu
 
MUNGU ameruhusu kifo ni moja ya sehemu ya ukamilifu wa uumbaji wake. Lazima tufe ili maisha yaendelee duniani.

Hata kuku na mbuzi tunaochinja huwa wanalia, huenda wanamlilia MUNGU awasaidie na kisu ila hatokei.
Aah kumbe Mungu ndo anaua, nlikuwa sijui
 
Back
Top Bottom