monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulidhani kifo kimeumbwa na nani?Aah kumbe Mungu ndo anaua, nlikuwa sijui
Aah kumbe Mungu ndo amewaua, hapo sawa.Unajifariji mkuu! Nafsi yako ni mhimu kuliko hizo pesa zako, kifo kitakujia siku usiyoitarajia na hizo pesa zako hazitakusaidia
Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
Marko 8:37
Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?
Wewe unafikiri waliokufa kwenye hiyo ajali hawakuwa na pesa???
Sefania 1:18
Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, ukomo wa kutisha.
Usiwe kipofu mkuu!!!
Sisi wahayya ni kawaida yetu kupanda ndege ...innalilah wainnailaih rajiun
Mbona watu kila siku wanakufa mkuu!!! Kifo kipo wewe jiandae Sasa Kama Mungu hajawasaidia waliookolewa wamesaidiwa na Nani???? Sio huyo huyo MunguAu basi tuseme yupo ila hana msaada, maana angekuwa na msaada angewasaidia. 🤔
Nimelia sana hii ajali. Mungu azidi kuwapa faraja na wepesi waliofiwa kupona na kujeruhiwa na awape pumziko la amani waliotangulia.
WALIOPELEKWA HOSPITALI
1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548
6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776
6. PROTAS MUSSA - 38YRS NGARA
7. AMOS SKOTH 38YRS MWANZA
8. GRACE RUGAMBWA - 67YRS NYAKANYASI BUKOBA -MUHSYA-MUUGUZI MSTAAFU-MKRISTO-0755016680
9. AMINA ABDALLAH KARWANDIRA 62YRS BUKOBA NYAKANYASI- MUHAYA -MUISLAM- MAMA WA NYUMBANI- 0628 749070
10. REVINA THEONEST RUTINDA 29YRS-KAGERA SUGAR-PROCCESSING ENGINEER-MUHAYA-MKRISTO- 0754588634 HOME GEITA(MWMA WA EMILI).
12. EMILI VICTOR MWESIGA 1.3 YRS -MUHAYA-KAGERA SUGAR
14. JESCA JULIUS TITUS 27YRS DSM - MUHA - MKRISTO PENTECOSTAL -NESI BY PROFESSIONAL. 0753953702
15. ZANGLIN 30YRS DSM (MCHINA)-CIVIL ENGINEER-0788453998
14. RICHARD KOMBA 42yrs-MMATENGO-MKURUGEBZI KAGERA TEA COMPANY MARUKU- 0756902081
15. EMMANUEL AMANI 28yrs MWANZA
16. NIKSON JACKSON KAWICHE 35YRS from DSM-ADITOR MDH-MCHAGA-MKRISTO-0742361210/071389942
17. SALEH OMARY 46YRS - MLIGURU-0789530136-SONARA-KIPAWA KARAKATA-
18. EDWIN BITEGEKO 33YRS DSM BANKER CRDB HQ TABATA-MUHAYA-MKRISTO-0755920587/0719124576
19. EVA DICKSON MCHARO 38YRS SENGEREMA MWANZA-MPARE-MKRISTO-PCCB SENGEREMA-0766847175
21. JOSEPHINE JOSEPH MWAKISAMBWA 34YRS MBEYA ANAISHI DAR-DKT-MKRISTO-MNYAKYUKYUSA-0762415551
21. THEODORA STANSLAYS MPESHA 46yrs ANAISHI DSM-MWASIBU DSM-MKRISTO-MUHAYA-0754841044
22. JOSEPH LAURENCE MBAGO 57YRS BOT ANAISHI DSM-MKRISTO-MBONDEI
WAHUDUMU
1. BRENDA SELVULI TEMBA 23YRS DSM-MCHAGA-MKRISTO-0686929264-AIR HOSTRESS PRECISION
2. LYDIA IBRAHIM RAMADHAN- 25YRS-MDIGO-MKRISTO- DSM AIR HOSTRESS PRECISION-0717800570
NB. WANAUME 16, WANAWAKE 9 NA MTOTO 1(ME)
MAJINA YA WALIOFARIKI DUNIA.
1. ATULINDE BITEYA
2. ANETH BITEYA
3. NEEMA FARAJA
4. HANIFA HAMZA
5.ANETH KAAYA
6.VICTOR LAUREAN
7. SAID MALAT LYANGANA
8.IMAN PAUL
9. FARAJI YUSUPH
10.LIN ZHANG
11.SAULI EPIMARK
12.ZACHARIA MLACHA
13.EUNICE NDIRANGU
14.MTANI NJEGERE
15. ZAITUNI SHILLAH
16.DR. ALICE SIMWINGA
17. BURUANI LUBAGA - RUBANI
18.PETER ODHIAMBO - FIRST OFFICER.
Na hiyo private. Idondoke wakose wakuwaokoa na wao wafe....Ina mana wananchi ndo wanadeserve kufa au...shameMmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.
imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kwahiyo wewe unaona viongozi pekee wafaa kuangaliwa usalama wao!.Mmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.
imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
NI vizuri kutoa anuani ya mtu yote kadri inavyowezekana ili msaada wa haraka uweze kupatikana kwa urahisi hivyo wako sahihi.Narudia, dini na namba ya simu kwenye matatizo hivi ni vya nn?
Mungu hapangi kifo cha mtu... Hitilafu na ajali za kibinadamu havihusiani na mipango ya Mungu..Ww ni Illuminati au? ....Ni Mungu pekee anayekulinda hapo ulipo na kila kinachotokea bs kimepangwa kuwa Ivo
Mbona watu wa dini mnajifanya wasahaulifu na mafundisho yenu?Hao wote wangejua kuwa watakufa Jana, wasingesafiri, aise tujiandae maana duniani hapa tunapita, hapo tiyari hukumu imefanyika wa kwenda motoni na ambao wameenda mbinguni tiyari walishakuwa wenyeji huko!!
Hako kajamaa ni kapumbavu sanaNa hiyo private. Idondoke wakose wakuwaokoa na wao wafe....Ina mana wananchi ndo wanadeserve kufa au...shame
Swali la kijinga kutoka Kwa mjingaDini ya mtu na namba za simu za nn?
Aah kumbe Mungu ndo amewaua, hapo sawa.
Ina maana hujui umuhimu wa namba za simu.....dini si kwa ajili ya kupata usahihi zaidi wa utambulisho wa mtu.Dini ya mtu na namba za simu za nn?
Hahaha sawa,Kufa kupo tu mkuu!! Ila njia ya kufa ndo haijulikani tutakufaje!! Tambua Hilo, mbinguni ndo hamna kifo tena
Ufunuo wa Yohana 21:4
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Mwanzo 3:19 kifo ni ahadi.ikifika siku ya kufa hakuna kuokolewa.Mbinguni kuna makao mazuri sana.Ili kufika huko lazima roho itoke kwenye mwili wa nyama.Mungu wenu ameshindwa kuwaokoa, mpaka wavuvi wamewaokoa,
Mtu anakunywa maji huku akiomba mungu na bado Mungu hampi msaada wowote mpaka anakufa. Bado mnasema mungu ana nguvu.
Au hili nalo linahitaji macho ya kiroho?