Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

Aah kumbe Mungu ndo amewaua, hapo sawa.
 

Isaya 55:8
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
 
Nimelia sana hii ajali. Mungu azidi kuwapa faraja na wepesi waliofiwa kupona na kujeruhiwa na awape pumziko la amani waliotangulia.
 
Na hiyo private. Idondoke wakose wakuwaokoa na wao wafe....Ina mana wananchi ndo wanadeserve kufa au...shame
 
Kwahiyo wewe unaona viongozi pekee wafaa kuangaliwa usalama wao!.
 
Narudia, dini na namba ya simu kwenye matatizo hivi ni vya nn?
NI vizuri kutoa anuani ya mtu yote kadri inavyowezekana ili msaada wa haraka uweze kupatikana kwa urahisi hivyo wako sahihi.
 
Hao wote wangejua kuwa watakufa Jana, wasingesafiri, aise tujiandae maana duniani hapa tunapita, hapo tiyari hukumu imefanyika wa kwenda motoni na ambao wameenda mbinguni tiyari walishakuwa wenyeji huko!!
Mbona watu wa dini mnajifanya wasahaulifu na mafundisho yenu?

Si mlituambia kwamba Yesu atakuja siku ya mwisho ikifika? Na kwamba hiyo siku wafu watafufuliwa na ndipo hukumu itatolewa kwa kila mtu kulingana na matendo yake?

Maandiko yamebadilika lini tena kimya kimya bila kutupa taarifa.
 
Aah kumbe Mungu ndo amewaua, hapo sawa.

Kufa kupo tu mkuu!! Ila njia ya kufa ndo haijulikani tutakufaje!! Tambua Hilo, mbinguni ndo hamna kifo tena

Ufunuo wa Yohana 21:4
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
 
Hahaha sawa,
 
kuna hamaa alirabiri humu kama sikosei ni mwezi uliopita kuhusu maono yake juu ya hii ajali.
 
Hizo namba za simu zisije tumika na matapeli kwa kutaka kudai ndugu zao wametolewa misukule wao wana uwezo wa kuwarudisha.
Nchi hii imejaa wakora na waganga feki wa kumwaga halikadhalika manabii na mitume uchwara.
 
Mungu wenu ameshindwa kuwaokoa, mpaka wavuvi wamewaokoa,

Mtu anakunywa maji huku akiomba mungu na bado Mungu hampi msaada wowote mpaka anakufa. Bado mnasema mungu ana nguvu.
Au hili nalo linahitaji macho ya kiroho?
Mwanzo 3:19 kifo ni ahadi.ikifika siku ya kufa hakuna kuokolewa.Mbinguni kuna makao mazuri sana.Ili kufika huko lazima roho itoke kwenye mwili wa nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…