Kwaya ya Arusha waliimba wimbi huu zamaniKufa kupo tu mkuu!! Ila njia ya kufa ndo haijulikani tutakufaje!! Tambua Hilo, mbinguni ndo hamna kifo tena
Ufunuo wa Yohana 21:4
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Aisee duuuuh!Mi nalindwa na pesa zangu, Mungu ni mpigaji tu.
Ila Acha sifa mkuu! Usiwe na kiburi na majivuno utakuja kujuta we mkuuAisee duuuuh!
Kwaajili ya utambuzi mkuu Usikubali kubeba kichwa Kama mzigo tuNarudia, dini na namba ya simu kwenye matatizo hivi ni vya nn?
Mmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.
imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Non senseMmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.
imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Unapoteza muda kumjibu mpumbavu kistaarabu? Biblia inasema mjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake.Unajifariji mkuu! Nafsi yako ni mhimu kuliko hizo pesa zako, kifo kitakujia siku usiyoitarajia na hizo pesa zako hazitakusaidia
Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
Marko 8:37
Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?
Wewe unafikiri waliokufa kwenye hiyo ajali hawakuwa na pesa???
Sefania 1:18
Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, ukomo wa kutisha.
Usiwe kipofu mkuu!!!
Upuuzi. Mungu hadhihakiwi. Ni vema ukatubu, kumdharau Mungu ni uovu uliopitiliza.Mungu wenu ameshindwa kuwaokoa, mpaka wavuvi wamewaokoa,
Mtu anakunywa maji huku akiomba mungu na bado Mungu hampi msaada wowote mpaka anakufa. Bado mnasema mungu ana nguvu.
Au hili nalo linahitaji macho ya kiroho?
Kama ni nduguyo utawasiliana naye vipi? Wakati mwingine majina hufanana, ukiwa hauna ndugu utaona ni upuuzi ila ni upuuzi zaidi kusoma jambo ambalo halikuhusu ukijua wewe hauna ndugu mwenye uwezo wa kupanda ndege.Dini ya mtu na namba za simu za nn?
Kusema hana nguvu nimedhihaki? Si kweli kaacha wakafa?Upuuzi. Mungu hadhihakiwi. Ni vema ukatubu, kumdharau Mungu ni uovu uliopitiliza.
Washukuru wazungu walioleta diniHao wote wangejua kuwa watakufa Jana, wasingesafiri, aise tujiandae maana duniani hapa tunapita, hapo tiyari hukumu imefanyika wa kwenda motoni na ambao wameenda mbinguni tiyari walishakuwa wenyeji huko!!
Waebrania 9:27
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
Marko 9:43
Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima u kigutu, kuliko kuwa na mikono miwili, na kwenda zako jehanum, kwenye moto usiozimika; [
Marko 9:44
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
Marko 9:45
Na mguu wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima, u kiwete, kuliko kuwa na miguu miwili, na kutupwa katika jehanum; [
Marko 9:46
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.]
Marko 9:47
Na jicho lako likikukosesha, ling’oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum;
Marko 9:48
ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.
Ufunuo wa Yohana 14:11
Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.
Nashauri wakuu tujiandae , tusibweteke na dunia, hii dunia inatudanganya Sana, lakini ukweli ni kwamba duniani sisi ni wapitaji!!
Itakuwa labda ni taarifa kutoka kwenye rekodi za precision.Narudia, dini na namba ya simu kwenye matatizo hivi ni vya nn?
Lumumba ganja mlizoletewa awamu hii zina mbegu nyingi sanaMmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.
imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Acha ujingaDini ya mtu na namba za simu za nn?
ConfirmationDini ya mtu na namba za simu za nn?
Majina hufanana.Yawezekana namba ya simu ikamtambulisha zaidi kama unamjua.Hata dini.Maana kuna kibaka aliiba vyeti vyangu vya O na A level ni wa dini ingine.Kibaka yule!Narudia, dini na namba ya simu kwenye matatizo hivi ni vya nn?
Kiongozi nae ni mtu pia anayo haki kufa kama kawaida, nasisitiza anayo haki ya kufa sawa sawa na binadamu wengineMmmh, my thoughts and grievences ziende kwa ndugu wote wa wahanga.
imagine kungekuwa na kiongozi humo??
Ninashauri kuwe na ndege maalumu za viongozi ili kuepusha haya Majanga.
Ikiwezekana kila kiongozi apewe private Jet ili kuongeza usalama wa viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.