Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

Kiongozi nae ni mtu pia anayo haki kufa kama kawaida, nasisitiza anayo haki ya kufa sawa sawa na binadamu wengine
Sasa kwanini ulinzi wa viongozi huwa mkubwa kuliko wa raia wa kawaida? Kwanini viongozi wakiugua hupelekwa hospitali kubwa kubwa mpaka nje ya nchi kwa gharama za walipa kodi? Wakati hospitali za ndani hawataki kuziboresha?
It means maisha ya Kiongozi yana thamani kuliko raia wa kawaida ukubali au ukubali.
 
Mungu wenu ameshindwa kuwaokoa, mpaka wavuvi wamewaokoa,

Mtu anakunywa maji huku akiomba mungu na bado Mungu hampi msaada wowote mpaka anakufa. Bado mnasema mungu ana nguvu.
Au hili nalo linahitaji macho ya kiroho?
Umefanya dhihaka kubwa kwa Mungu(, iwapo ulimaanisha Mungu muumba wa mbingu na nchi)
Mungu akurehemu.
Kazi ya Mungu si kuokoa tu, hata kuua pia.
Kwa hiyo alioamua wafe wamekufa na alioamua wapone watapona.
Wavuvi wametumika tu kutekeleza maamuzi ya Mung

Kum 32:39 SUV

Faha""mu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu+"

SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
 
Unaniogopesha?
 
Narudia, dini na namba ya simu kwenye matatizo hivi ni vya nn?
Wakati wa Kuaga ungewasafirisha kivipi kama hujui Dini yake? Ungeweka Msalaba Kila Jeneza? Kuna Majeneza pia hutengenezwa kutokana na Dini ya Mtu.
 
Wakati wa Kuaga ungewasafirisha kivipi kama hujui Dini yake? Ungeweka Msalaba Kila Jeneza? Kuna Majeneza pia hutengenezwa kutokana na Dini ya Mtu.
Inasaidia nn?
 
Manusura wa ajali Namba 14 classmate wangu wa tumesoma wote somewhere miaka ya 2000 very humble classmate huyo mkurugenzi wa Kagera sugar. Nilimuonq akihojiwa not seen him 20yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…