Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna yule mbuge wa singida aliyeoa miss Tz sijui anaitwa nani alisema Marekani wamemuomba awe rais wa Tanzania.. yule ndiyo kiongozi wa washamba ukanda huu wa Africa na maziwa makuu pamoja na ukanda wa Asia
Sio nchini, ni duniani. Msigwa aliniuzi sana wakati anashuhudia Alivyomkatalia magufuliMsigwa anaongoza kwa unafiki nchini
Wafuasi wa mzilikande mnateseeeka 😂1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa k
Unamtukana rais wako wa awamu ya Saba 2025 mh January yusuph Makamba??????1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga e na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Nashangaa, kuna watu wanafurahia kuwa na ndege ilihali ni liabilities kwa serikali yetuMkuu,
Mpaka leo huelewi ndege zinavyo ku cost?
Zile report za CAG huwa unapitia hata kwa kusoma headlines tu?
Watanzania wengi ninwashamba, hata hawa wanaowananga viongozi juwa ni washamba.Nashangaa, kuna watu wanafurahia kuwa na ndege ilihali ni liabilities kwa serikali yetu
Kuwepo kwa gharama kubwa NI kutokana na uendeshaji mbovu! Kwa hiyo mkuu utashindwa kununua gari kwako eti kwa sababu mafuta yana bei kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aise Tanzania yangu hiiMkuu,
Mpaka leo huelewi ndege zinavyo ku cost?
Zile report za CAG huwa unapitia hata kwa kusoma headlines tu?
Agreed wholeheartedly, wote hapo juu ni washamba kupindukia na kichwani hamnazo. Imagine nchi kama Tanzania tunakuwa na viongozi kama hawa wasioona mbali, unafikiri wanatupeleka wapi?1. Zito Kabwe
kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Kwani nani kasema tatizo ni gharama kubwa?Kuwepo kwa gharama kubwa NI kutokana na uendeshaji mbovu! Kwa hiyo mkuu utashindwa kununua gari kwako eti kwa sababu mafuta yana bei kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aise Tanzania yangu hii
Wewe ndio mshamba sana, chawa mkubwa sana!1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga a hiyo kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Aliyenizuia mimi? Mimi ndiye niliyenunua ndege?Aliyekuzuia kuwa na busness plan nzuri ni nani?