Orodha ya wanasiasa ambao bila kuwapuuza Tanzania tusingekuwa hapa leo

Huyo namba 5 kaacha legacy ya migao ya umeme,,,....hilo ndo aliloliweza alipoingia wizarani
 
Aliposti uzi huu ndio ushamba kupita maelezo. Hajui kuwa Truth is temporary.
 
Tumeshindwa kutumia magwiji hawa kutuletea maendeleo sasa tumeishia kuwalaumu!
 
Dogo unamajunga, Chunga mziki wahuni watazitoboa spika.
 
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga ote!.
Mi nakuona wewe ndo mshamba haswa kwa kuaminishwa kuwa lilikuwa likijenga miradi kwa fedha za ndani
 
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa
Kwenye list yako namba 1 ni Magufuli

Nchi hii haijawahi kupata Rais Mshamba kama Ngosha lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…