Orodha ya wanasiasa ambao bila kuwapuuza Tanzania tusingekuwa hapa leo

Bora hao washamba, huyo god ndo zezeta kabisa, anasaidia chama kionekane cha kihuni huni TU!!
Wananchi wanalia sana wakikumbuka eti walishamchagua kuwa MP wao 😂😂
 
Hawa tunaweza kuwaita PUBLIC ENEMIES.
ni mradi gani mmejenga kwa pesa za ndani ? ndo nchi mlitaka ifikie huku ? wakosoaji ndo wamefanya watu wawe wanakula kodi zetu na kuua miradi yetu ili tukose mapato ya ndani ? bad ujinga ndo ttzo katika jamii zetu , ccmu endeleeni kula neema haya majinga yaendelee kuganga njaa huku yakiwasifia mitandaoni
 
Mkuu,

Mpaka leo huelewi ndege zinavyo ku cost?

Zile report za CAG huwa unapitia hata kwa kusoma headlines tu?
nyiny watz wajinga kuwai kutokea , unahis ukinunua tu ndege pesa inaanza ingia bila mipango thabiti ? na ujinga wenu ndo umeuwa mtaji kwa hawa wanasiasa wezi , hv mradi gani kwao umeleta faida ? Treni TAZARA au TRC ? Bandari ? Mashamba au Viwanda vilivyokufa ? Tbc ? isiyoweza hata kushindana na media changa za ndani ? BRT ? inayoanza kuwa mbovu zaid hata ya midaladala ya 2007?

MUWE MNATUNIA AKILI WAKIJA NA KAULI ZAO NYEPESI , SIKU MNASAMBAZIANA VIDEO ETI WAZUNGU WANATAKA MPUNGUE DUNIANI MARA WAZUNGU HAWATAKI MFUNGUE VUWANDA , HIZI STORI ZOTE HUWA MNAPEWA WANASIASA WALIOSHINDWA TIMIZA WAJIBU WAO , JE VIWANDA NA TAASISI ZILIZOKWEPO PIA WAZUNGU WALIZIUA? MUWE MNATUNIA AKILI ZENU HATA NUSU TU NA MUELEWE WANASIASA WENU NDO MZIGO , UNACHUKUA NDEGE UNAPELEKA KATAVI KWA BEI YA KODI YA NYUMBA YA MWAKA MZIMA , HIZO NI AKILI ?


NDEGE SI SHIDA , SHIDA NI CCMU HAWAWEZI WEKA MPANGO KABAMBE WA KUDHIBITI MAPATO KWENYE SHIRIKA YA NDEGE , UFISADI NDO UNAUA SHIRIKA LA NDEGE PAMOJA VITENGO VINGINE

ENZI ZA JPM TAZARA NA TRC ZILIKUWA ZINAFANYA KAZI REGULARLY ILA SASA HV MPK INABOA , TRENI HAZITABILIKI KBS NA WAHUSIKA WANAMAJIBU MABOVU HALAFU UNATEGEMEA WANAOJITAMBUA KUENDELEA KUPANDA TRENI ZAO ? HAPO MJINGA AKIAMBIWA TRENI ZINACOST ANABEBA KAMA ILIVYO
 
Hao unaowaita washamba ndio wanaokula mema ya nchi.

Na wewe unakula mema ya nchi kama hao uwaitao washamba?
 
Mjinga ni wewe unayetetea kununua ndege bila business plan. Nimeitaja business plan hapo juu, ila wewe hujui kusoma wala kuandika sitegemei uelewe.

Yani hujui hata tofauti ya "kuwahi" na "kuwai". Unachanganya habari ambazo hazipo katika mjadala kwa strawaman argument logical fallacy.

Unajua strawman argument ni nini?

Unaharibu viwango vya mazungumzo.

Naona unaniletea shombo la ushamba tu hapa.
 

Wewe ndiye unaonekana ni MSHAMBA kuliko hao unaowaita Washamba. At least wote uliowataja tunaushahidi kuwa walishasafiri au walishaishi nje ya nchi. ..... Ila wewe, I doubt!!
 
Nikiona thread sijui kwanini huwa nakudharau sana. Labda ni vile wewe ni wale Sukuma gang. Huwa unaandika ujinga mtupu
 
Basi tuseme taifa la washamba kupitiliza coz hao viongozi ni true reflection ya sisi wa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…