Orodha ya wasanii bora wa kisukuma wa siku zote

Kwa hali hii basi Kanda ya Ziwa mnatisha sana. Maana siyo kwa msululu huo wa wasanii waliotoa ngoma kali, na kuweza ku hit ukanda wa ziwa wote!

Hao wasanii wakipata nafasi waje basi na huku Lushoto Tanga, ili watuburudishe. Maana tumechoka kucheza ngoma za mdumange.
 
Eti wasanii waliotoa nyimbo kali. Wasukuma mna visa sana aisee 🤣
 
Wakinadada kama bae wako anajifanya mbahili hakupi pesa dawa ni ndogo tu. Unatengeneza uji asubuhi unaenda kuuza kazini kwake.
Halafu huo uji wenyewe usiwe wa ulezi na sukari! Uwe wa sembe, au dona! Halafu unawekwa chumvi!!
 
Duh wasukuma wameanza lini kuimba?
 
Ongeza hapo mwana kang'wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…