BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Huyo Nancy ni mpya? Mbona ndo namuona hapo?1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nancy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Typing error, nimerekebisha, ni NandyHuyo Nancy ni mpya? Mbona ndo namuona hapo?
Weka yakoHii list Ni gushi, labda Ni kwa mtazamo wa mtoa mada
Hii ni listi yangu, nikiwa Kama mpenzi na mdau wa muziki TanzaniaUmetoa wapi hizo taarifa??
Njoo uchukue Simu yangu upekue Kwenye files, ukikuta wimbo wa msanii wa Kitanzania ( Bongo Fleva) hata mmoja, uniite mbwa nimekaa pale.Weka yako
Hapa sioni wanamuziki kitu bali makanjanja wa muziki. Wao mapenzi na matusi ndizo hoja zao. Tanzania wanamuziki walishakufa. Waliobaki ni ushoroba wa kutafuta fedha na sifa.1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Haswa Nami majina yote hayo ni wahalifu walioharibu mziki wa dansi wa kitanzaniaHapa sioni wanamuziki kitu bali makanjanja wa muziki. Wao mapenzi na matusi ndizo hoja zao. Tanzania wanamuziki walishakufa. Waliobaki ni ushoroba wa kutafuta fedha na sifa.
1-harmonize1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Wasupport ushoga tu haoHapa sioni wanamuziki kitu bali makanjanja wa muziki. Wao mapenzi na matusi ndizo hoja zao. Tanzania wanamuziki walishakufa. Waliobaki ni ushoroba wa kutafuta fedha na sifa.
Source?1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu