Narumu One
JF-Expert Member
- Oct 31, 2022
- 396
- 399
Tupe chanzo au hisia zako.1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe chanzo au hisia zako.1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Mkuu hii ni list ya wasanii waliofanya vizuri mwaka 2022,kama matusi yameimbwa na yakaenda mjini bas msanii kafnya vzur usijipe kaz ya kutaka kubadilisha sanaa za watu unaish mara moja,fanya unayopenda na sikliza yanayokupendeza mengne achana nayoMtu mara aimbe "amelowa amelowa amenyeshewa na mvua.Alinakamatia gia zikanipanda hisia."Kutwa nadindisha mkonga"."Sijui tufanye gizani ndyo pananoga".Diamond naye aimbe "Leo usinipe kitandani nipe kwenye kochi".
Watu wanaigiza ngono na kufanya matendo ya ndoa na matusi hadharani mbele yenu na mnawachakulia kawaida na kuwasifia badala ya kuwakemea.Mbaya zaidi wazazi wanawaacha watoto waangalie huo uchafu.
Hao wasanii uliowataja hawaburudishi kitu zaidi ya kuchochea watu wanywe pombe,uzinzi ,kupiga punyeto na matusi.
Ila kumbuka taifa la baadaye linaangamiaMkuu hii ni list ya wasanii waliofanya vizuri mwaka 2022,kama matusi yameimbwa na yakaenda mjini bas msanii kafnya vzur usijipe kaz ya kutaka kubadilisha sanaa za watu unaish mara moja,fanya unayopenda na sikliza yanayokupendeza mengne achana nayo
Linda taifa la familia yako mkuu ukitaka kuhangaika na mataifa mengne utakufa mapemaIla kumbuka taifa la baadaye linaangamia
Wimbo wa Utu, ulipendwa sana.Ali ana ngoma gani iliyosumbua mwaka huu?