Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

-Jay melody
-Mario
-king kiba(ndie Msanii ambae ninamkubali mno.naupenda mziki wake kupitiliza)
-No mara wa
-yule mwenye Ana ingredients za ugali (anasauti nzuri)
Nitarudi na list nyingine
 
-Jay melody
-Mario
-king kiba(ndie Msanii ambae ninamkubali mno.naupenda mziki wake kupitiliza)
-No mara wa
-yule mwenye Ana ingredients za ugali (anasauti nzuri)
Nitarudi na list nyingine
Mwenye ingredients za ugali ni nani? Abby chams au?
 
Wasanii bora waliofanya vizuri 2022

1. Diamond Platnumz
2. Zuchu
3. Mbosso
4. Marioo
5. Jay Melody
6. Rayvanny
7. Lavalava
8. Ali Kiba
9. Harmonize
10. Jux

List imezingatia evidence based research kwenye social media, clubs, radio & TV stations, shows, appearance na tuzo kubwa.

Anaetaka kupata data analysis anakaribishwa.
 
Umeangalia ninj kwny social media
Na umetumia kigezo gani kupanga hii list.
Na kama ni streaming platforms zipi zimeonesha wamesikilizwa zaidi
 
Zuchu kamzidi harmonize, hii research ni 🚮
Shida ya Harmonize anaimba muziki kama wa taarabu.
Kila nyimbo akitoa anamdisi Diamond.
Diamond katoa nyimbo na koffi naye kakimbia katoa na Awilo.
Namtegemea Mungu, humo kawaongelea Diamond, Mwijaku na Baba Levo.
Ajitahidi kuimba muziki usio na majungu atafika mbali sana.
 
Hebu kila mtu aweke top ten yake hapa tuone wasanii Bora wa music Tz mwaka 2022 ....
List yangu hii..

1.Zuchu
2. Jay Melody .
3.Marioo .
4.Harmonise
5. Diamond
6. Rayvany
7. Jux
8. Ali kiba
9.Lavalava
10. nandy..

Kila mtu atoe yake tuone
Alikiba ameandamana huko baada ya kuwekwa namba saba
 
Back
Top Bottom