Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

1. Diamond

2. Diamond

3. Zuchu

4. Zuchuuuu

5. Mbosso

6. Mariooo

7. Mariooo

8. Diamond

9. Diamond

10. Zuchuuu.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Shida ya Harmonize anaimba muziki kama wa taarabu.
Kila nyimbo akitoa anamdisi Diamond.
Diamond katoa nyimbo na koffi naye kakimbia katoa na Awilo.
Namtegemea Mungu, humo kawaongelea Diamond, Mwijaku na Baba Levo.
Ajitahidi kuimba muziki usio na majungu atafika mbali sana.
Naogopa aliyofanya na Marioo umeisikiliza?
 
Mtizamo wa mtu binafsi wengine wanakereka.

Mimi kwa mwaka huu wasanii WANGU waliofanya vizuri.

1.Mario.
2.Zuchu.
3.Mbosso.
4.Barnaba.
5.Jay Melody .
6.Harmonize.
7.Mondi.
8.Sarafina.
9.Nandy.
10.Lavalava.
 
Basi na popoma mumuweke maana badala mseme list ya waimba ngono nyie mnawaita wanasanii
Wasanini watakuwa wabongo!!
 
Mtizamo wa mtu binafsi wengine wanakereka.

Mimi kwa mwaka huu wasanii WANGU waliofanya vizuri.

1.Mario.
2.Zuchu.
3.Mbosso.
4.Barnaba.
5.Jay Melody .
6.Harmonize.
7.Mondi.
8.Sarafina.
9.Nandy.
10.Lavalava.
Kibamia kamaindi baada ya kutoonekana top 3...

Na wewe hata top 10 hajaonekana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mtumieni na hii list aumie na atoke povu
 
Kibamia kamaindi baada ya kutoonekana top 3...

Na wewe hata top 10 hajaonekana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mtumieni na hii list aumie na atoke povu
Jamaa anapenda kujishtukia,sasa mtu kawasilisha mawazo yake binafsi unakasirika.
 
Mtu mara aimbe "amelowa amelowa amenyeshewa na mvua.Alinakamatia gia zikanipanda hisia."Kutwa nadindisha mkonga"."Sijui tufanye gizani ndyo pananoga".Diamond naye aimbe "Leo usinipe kitandani nipe kwenye kochi".

Watu wanaigiza ngono na kufanya matendo ya ndoa na matusi hadharani mbele yenu na mnawachakulia kawaida na kuwasifia badala ya kuwakemea.Mbaya zaidi wazazi wanawaacha watoto waangalie huo uchafu.

Hao wasanii uliowataja hawaburudishi kitu zaidi ya kuchochea watu wanywe pombe,uzinzi ,kupiga punyeto na matusi.
 
Naona wasanii wote ni wale mziki wao wana promote [emoji304] tu hapo

Ova
 
Nyimbo za asili top 5 mwaka 2022

1 Ngelele S Bupina

2 Kisima Nyanda Majabala

3 Bhudagala M Malonja

4 Gude Gude Wamaluho

5 Bahati Bugarama


Chanzo ni mimi.
 
Back
Top Bottom