Naogopa aliyofanya na Marioo umeisikiliza?Shida ya Harmonize anaimba muziki kama wa taarabu.
Kila nyimbo akitoa anamdisi Diamond.
Diamond katoa nyimbo na koffi naye kakimbia katoa na Awilo.
Namtegemea Mungu, humo kawaongelea Diamond, Mwijaku na Baba Levo.
Ajitahidi kuimba muziki usio na majungu atafika mbali sana.
Jay melody kafanya poa sana huu mwakaHii ni listi yangu, nikiwa Kama mpenzi na mdau wa muziki Tanzania
List yako si mbaya ila umemkosea adabu JayMelody, pia huyo Maarifa katokea wapi?1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Umemaliza kupiga puli ukaibuka na list yako uchwara1. Harmonize
2. Alikiba
3. Marioo
4. Mboso
5. Diamond
6. Nandy
7. Ney wa Mitego
8. Maarifa
9. Rayvanny
10. Zuchu
Mbona ally hayupo??1.Jay Melody
2.Marioo
3.Harmonize
4.Zuchu
5.Mbosso
My Top 5.
Kibamia kamaindi baada ya kutoonekana top 3...Mtizamo wa mtu binafsi wengine wanakereka.
Mimi kwa mwaka huu wasanii WANGU waliofanya vizuri.
1.Mario.
2.Zuchu.
3.Mbosso.
4.Barnaba.
5.Jay Melody .
6.Harmonize.
7.Mondi.
8.Sarafina.
9.Nandy.
10.Lavalava.
Ali ana ngoma gani iliyosumbua mwaka huu?Mbona ally hayupo??
Jamaa anapenda kujishtukia,sasa mtu kawasilisha mawazo yake binafsi unakasirika.Kibamia kamaindi baada ya kutoonekana top 3...
Na wewe hata top 10 hajaonekana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mtumieni na hii list aumie na atoke povu
ππππMtoa Mada nahisi ndio Mjinga bora wa mwaka 2022πππ
Ndo maana huna akili..Hii ni listi yangu, nikiwa Kama mpenzi na mdau wa muziki Tanzania