Orodha ya wasanii manyoka

Orodha ya wasanii manyoka

Mbona mnamsahau mzee wa hiphop banjo man dojo? Tuanze kuwataja wazungu
1.Idd Azan
2.Riz uno
3...
 
Hariri kinondoni hapo stereo, huyo na anamuua TID. Yeye hadi anakubebesha unga to SA, ukimpelekea ktu kama gari kwa bond.askar wa kinondon wote wanajua ila hawana say, nadhan nkuru anahisa nae.
 
.We have bigger problems like Umaskini,Ufisadi and ----ing global warming.bila kuisahau CCM.

Duh, salute
 
wewe utakuwa teja tu.

Kwa imani yangu mtu akikutukana au kukuambie neno la kukukwaza, haturudishi. Kwa hiyo mkuu nakwambia ahsante ila hoja yangu inasimama pale pale, ukimuona mwenye shida je unafurahia shida alizonazo? kwa kauli yako jibu ni ndio? Kwa watu wanaofanya kazi kwenye sector ya social welfare wanaelewa vizuri ninachokiongea.
 
.We have bigger problems like Umaskini,Ufisadi and ----ing global warming.bila kuisahau CCM.

Duh, salute
Kevin Kevin revise your international issues literature na ui-update .... sembe a.k.a unga a.k.a drug abuse na traffiking plus plus other related issues ni global problem kwa sasa kama ulikuwa hujajua. Si kwa Tanzania tu ni kimataifaa sasa inakuwa ngumu kwa global community kudeal nayo na inaonekana si hoja yenye kutekelezeka kirahisi sana mwa actors as kuna watu wakubwa sana wenye steak kwenye hilo
 
Last edited by a moderator:
Usipotoshe, Langa anasema " Amani kwako kaka Voda Milionea, mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea"

kweli mkuu tena hii punch alimjibu J moe!
Kipindi hko sembe lilikuwa ticha mkuu wa langa
 
Kwa kuwataja na kuwaanika hadharani nafikiri itasaidia,kwani wengi wanafanya siri na kuja kuharibikiwa mbeleni
1.LORD EYEZ
2.DAZ BABA
3.CHID BENZ
4.Q CHIEF
5.TEMBA
6.NATURE
7.BANZA
8.DIOF
9.TID
10.BLUE
11.IBRA DA HUSTLER
12.BU NAKO
13.CHRISTIAN BELA
14.MABOVU
15.mox
16....
Wengine wajazie list,wasipoacha kama wenzao ray c na langa suti zitawatosha

ucmsahau
bush
obama
ndapi
wasiro(huyu anatinga sana)
maalim

wengine nakuja kuendlea nna list ndefu
 
swali la muhimu,sisi kama vijana tunatoa mchango gani katika kuwasaidia ambao tayari manyoka na wale ambao hawajaanza kutumia?Tukumbuke wengine ni ndugu zetu,rafiki zetu n.k
 
Back
Top Bottom