Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

At least hapa umekuwa objective kuwa unapima uandishi. Hapa naweza kukubaliana na wewe kuwa kuna vijana wamekuja ktk muziki wanaandika vizuri kuliko Sugu. Hapa umetumia kigezo Cha uandishi na huo ni ukweli.
Ni sawa hata Fid anazidiwa uandishi na One.
Story telling Prof kawazidi wengi huo ni ukweli.
Hapa tuko sawa lazima kuwe na kigezo siyo kusema hana kipaji. Anacho lakini ktk angle fulani anazidiwa.
 
Chuki binafsi
 
Vigezo vikiwa vingi against wewe ndipo watu wanahitimisha kuwa kipaji chako ni kidogo.
 
Kila mtu ana flow zake anazozipenda, unamfahamu Talib Kweli? Nenda katafute wimbo wa mystical unaitwa danger kasikilize zile flow uone kama utaelewa kitu.
Kama unao huo wimbo uweke hapa nkujibu hapa hapa km huyo ni msanii au mbabaishaji
 
Lakini ninekufungua macho ujue historia ya jina sio unakurupuka tuu
Nimeanza kumfatilia Sugu kabla hujazaliwa, na ushahidi nimekuwekea Sasa wewe leta ushahidi popote pale palipoandikwa TOO PROUD
 

Haya tutofautishie ww

Ni kweliJongwe sio mkali sana kwenye wordplay na punchline na kuchagua beat kali
Lakini Jongwe ni muandishi mzuri sana na anajua sana kutunga topiki kali za kijamii

Kutokuwa na punchline za kutisha hakumaanishi ni kutokua na kipaji

Legacy ya mtu hailazimishwi inakuja yenyewe kwa aliyofanya
Kusema Sugu hana kipaji ni KUMKOSEA HESHIMA
Legacy ya Jongwe kwenye muziki wa hip hop Tz haiwezi kuondoka kwasababu labda hamvutiwi na flow yake au mashairi yake mepesi kwa mujibu wa MAONI yenu

Nakumbuka miaka hiyo Hip hop ilikua inaonekana kama uhuni tu lakini Jongwe ndio rapper wa kwanza Tz kwenda mainstream(achana nabJabir alikua napiga copy na kutafsiri)

Na hata walipokuja marapa wengine wakakimbiza sana mainstream kama akina Juma Nature, Inspt Harion na makundi kibao ya rap lakini bado hawakuwa na ladha halisi ya hip hop, ilikua ni lazima utarudi kwa Jongwe ndio utapata kuboo kambaaam za akina tupac na NWA

Jongwe ndio msanii wa kwanza kushinda M-Net award Tz

Enzi hizo akina Nature,na marapa kibao walikua wanaimba madudu matupu lakini Jongwe alikua anaimba vitu vya msingi kweli kweli akaipa hip hop heshima kubwa kwamba kumbe ni mziki unaoweza kuimba vitu vya maana

Wasanii wengi sana walio kuja kuchipukia baadae walifuata mkumbo huo na kuanza kutunga tungo za jamii

Jongwe sio aina ya msanii ambaye atatoa hit zikaahika chati nabkupigwa disko
Jongwe ni muumini wa hip hop ngumu hadi beat lakini ndio msanii aliyefanikiwa ku maintain kiwango chake kile kile kwa album zake karibia zote 10
Haendelei na muziki kwa sana kwasababu dunia imebadilika na aina ya muziki wake haina tena wasikilizaji wengi

Najua Wikipedia inamapungufu yake lakini angalau tembelea page za wana hipo hop wote wa Tz utapata mwanga jinsi jongwe alivyo legendary kwenye hii tasnia

Kama unaijua historia ya muziki wa hip hop Tz jongwe lazima awe kwenye top 5 yako
 
Nimeanza kumfatilia Sugu kabla hujazaliwa, na ushahidi nimekuwekea Sasa wewe leta ushahidi popote pale palipoandikwa TOO PROUD
We unavozidi kubisha ndo nakuona ulivyo mjinga , yan kwavile hakuna sehemu iliyoandikwa basi ndo inakudanya uamini kuwa akikua anajiita Two proud
Kama huamini ingia youtube kuna interview master jay alishaongelea hilo
 
Hiyo top five ataingia kama nani?
 
We unavozidi kubisha ndo nakuona ulivyo mjinga , yan kwavile hakuna sehemu iliyoandikwa basi ndo inakudanya uamini kuwa akikua anajiita Two proud
Kama huamini ingia youtube kuna interview master jay alishaongelea hilo
Dogo nimenunua album za Sugu karibia zote, nimeanza kumfatilia wewe hujazaliwa kwahiyo nimesikiliza interviews zake nyingi mno. Ndio maana huwezi kukuta popote TOO PROUD
 
usisahau na Umoja ni nguvu aliyoimba na Mau Kolimba
 
Dogo nimenunua album za Sugu karibia zote, nimeanza kumfatilia wewe hujazaliwa kwahiyo nimesikiliza interviews zake nyingi mno. Ndio maana huwezi kukuta popote TOO PROUD
We kuzaliwa kabla yangu sio kigezo cha ww kujua vingi kunizidi

Haya nkuulize hilo jina unajua lilikua na maana gan?
 
Kwanza nashkuru tumekubaliana yote niliyosema kuhusu kipaji chake.
Nakubali ana kipaji ila kipaji chake ni cha kawaida. Legacy yake imebase kwenye uasisi zaidi na sio talent yake.....
kama kuna mtu anapinga uasisi wa Jongwe basi ana matatizo, ila kipaji ni debate halali kabisa.
 
Dogo nimenunua album za Sugu karibia zote, nimeanza kumfatilia wewe hujazaliwa kwahiyo nimesikiliza interviews zake nyingi mno. Ndio maana huwezi kukuta popote TOO PROUD

Shida ni kwamba vijana wa siku hizi wanadhania kila kitu bora ni kile kinatokea kwenye era yao

Nilicheka sana nikataka nimjibu lakini nikampotezea eti jina la 2 proud limetokana na mzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…