Umeruka swali alafu ukiwa kitu hujui au hukifahamu ni vizuri useme haujui kuliko kuruka swali unajipunguzia credibility yako ya maana, nimekuuliza unamjua msanii wa kwanza wa bongo alieachia ngoma radioni alikua anaitwa Nani? Kipindi hicho walikua wanabadirisha nyimbo za kingereza kuimba kiswahili yaan ngoma ya mbele Ila wanatafasiri mistari na kuimba kiswahili unamjua?Mkuu nje ya Music Sugu nampa heshima kubwa sana katika kuupambania muziki wa Bongo fleva
Lakini kama tumeamua kuwa wakweli Sugu hana uwezo wa kisanaa kabisa , ukimskiliza vizuri kama kwelu una sikio la music utagundua jamaa ni wakawaida kinyama
Unataka aweje ili umuone ana kipajiUnajua hit song ya mwisho temba kutoa kama solo artist ilikua ni mwaka gani?
nakubaliana na wewe mkuuToa mawazo yako na wewe
Sawa ila haya n maoni tu kaKJina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
Huyo ni mtoto wa juzi anafikiri mazingira ya wakati ya miaka 90's ni sawa na leo ni tatizo kubwa la vijana wa social media ndo maana nikaamuliza kazaliwa lini isije ikawa unabishana na mtu ambaye kazaliwa 2000's ndo maana anaongea pumbaUmeruka swali alafu ukiwa kitu hujui au hukifahamu ni vizuri useme haujui kuliko kuruka swali unajipunguzia credibility yako ya maana, nimekuuliza unamjua msanii wa kwanza wa bongo alieachia ngoma radioni alikua anaitwa Nani? Kipindi hicho walikua wanabadirisha nyimbo za kingereza kuimba kiswahili yaan ngoma ya mbele Ila wanatafasiri mistari na kuimba kiswahili unamjua?
Kama nyimbo ya jafarai ft daz baba niko bize bonge ya nyimbo utawafananisha na hawa wasanii wa sahiviMike T,Sugu,Jafarai, umefeli pakubwa.
Wasanaii wa siku hizi ndio bure kabisa zamani kupenya redioni mpaka kwenye kaseti sio mchezo kwa Dudubaya ni sawa jamaa hana upeo kabisa wa mziki.
Kwa iyo ili msanii awe na kipaji inatakiwa atoe hit song ngap?,Mb dog hit song ya mwisho ni ya mwaka gani? na je naye hakuwa na kipaji?Unajua hit song ya mwisho temba kutoa kama solo artist ilikua ni mwaka gani?
Ndomana mziki wa sasa unaendana na ushoga ...mziki sahv umechukua nafasi ya taarab wakati ule show zao mashoga lazima wajaeHiyo ni mtoto wa juzi anafikiri mazingira ya wakati ya miaka 90's ni sawa na leo ni tatizo kubwa la vijana wa social media ndo maana nikaamuliza kazaliwa lini isije ikawa unabishana na mtu ambaye kazaliwa 2000's ndo maana anaongea pumba
Mimi ukinitajia Salehe Jabir wa kwanza kunijia ni huyu ulomuelezea hapa.Umeruka swali alafu ukiwa kitu hujui au hukifahamu ni vizuri useme haujui kuliko kuruka swali unajipunguzia credibility yako ya maana, nimekuuliza unamjua msanii wa kwanza wa bongo alieachia ngoma radioni alikua anaitwa Nani? Kipindi hicho walikua wanabadirisha nyimbo za kingereza kuimba kiswahili yaan ngoma ya mbele Ila wanatafasiri mistari na kuimba kiswahili unamjua?
Huyu jamaa Nyota TU imemkataa Ila daah acha tu nisiongee mengi na ile mi-beat aliyokua akitengenezewa na P Funk Majani km ile ya Latifah na ile Si Uliniambia (Waja) ukitaka kujua mengi kamuulize Diamond Platinums kwanini mwanae kamuita Latifah atakwambie aliipenda ile movie ya wizi aliyocheza yule mwanamama Queen Latifah Set It Off na atajieleza mengi kuhusu Dog man Ila ukweli ni ngoma moja la MB Dog linaitwa LatifahMb dog hit song ya mwisho ni ya mwaka gani?
Ndio kweli namzungumzia Saleh Jabir yule alieachia ngoma ya Ice Ice Baby kipindi hicho ngoma hio mbele ilikua hit song yeye akaimba na kurap kiswahili aliitafsiri mistari then ikaruka redioni, unamjua?Mimi ukinitajia Salehe Jabir wa kwanza kunijia ni huyu ulomuelezea hapa.
Ila naona mtoa mada kaenda kwa Kuvichaka.
Tunatoautiana sana.
Kumbe wewe unazungumzia current sequence ya kutoa hits. Kama ni hivo hata 50 cent hana kipaji maana last hit song aliitoa watback 2014.Unajua hit song ya mwisho temba kutoa kama solo artist ilikua ni mwaka gani?