MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 629
- 658
kasikilize ngoma yake inaitwa zuzu, jamaa anajuaChin beez sio mkali wasanii wengi wa chuga ujanja ujanja....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasikilize ngoma yake inaitwa zuzu, jamaa anajuaChin beez sio mkali wasanii wengi wa chuga ujanja ujanja....
Hawezi kuthubutu kusema hivo, Nature ni hazina ya taifa Top 10 ya wasanii kuwahi kutokea Nchii hii humkosi Nature yan apo unawaweka na kina Mbaraka Mwishee et alTunapoelekea mleta mada utasema hata Sir Nature (Juma Nature) hana kipaji .😂😂😂😂
GWMUnataka aweje ili umuone ana kipaji
Nikusaidie kwa mazingira ya zaman ilikua ni ngumu sana kutoa nyimbo na ukavuma ni tofauti na sasa hivi
Chujio la zaman ni gumu sana kama huna kipaji tofauti na sasa hivi mafanikio ya msanii yako revolve around kick
Hao uliowataja ni wachache kati ya wengi waliopambana kujulikana ki-music na wakashindwa ukweli ni kwamba watoto wa sahivi mnachukulia mambo kirahis sana kabisa unasimama unasema sugu au temba hana kipaji hivi unayajua mazingira ya 2000 kurudi nyuma huko
Ebu nikuulize una miaka mingapi
Huyo ni mtoto wa juzi anafikiri mazingira ya wakati ya miaka 90's ni sawa na leo ni tatizo kubwa la vijana wa social media ndo maana nikaamuliza kazaliwa lini isije ikawa unabishana na mtu ambaye kazaliwa 2000's ndo maana anaongea pumba
Ujinga wa Niko bize ndio unakuja kumfananisha na nyimbo za sasaKama nyimbo ya jafarai ft daz baba niko bize bonge ya nyimbo utawafananisha na hawa wasanii wa sahivi
Huyu anatupotezea muda tu hapa [emoji3]Wewe nimeona muziki huujui kabisa yaani
Imagine mtu anakwambia Maujanja suppliers hawana uwezo na bado mnamchukulia seriousHahahaahahaha... huu uzi ni wa chuki iliyopitiliza. Hapo labda Kalapina, Maujanja Suppliers na Bou Nako tu ndo vipaji vyao vinaweza kuwa na hitilafu... kusema Sugu hana kipaji ni tusi kwa Bongo Flavour yote.
Asante sana mkuu kwa mchango wakoHoja Ni kitokuwa na kipaji kiwa na mazingira magumi sio excuse ya kuwa ndio una kipaji pia zamani nyimbo nyingi zilikuwa zakindezi Basi tu zamani watu wali accept ujinga mziki sasahivi unachuja quality
Ndio hawana uwezoImagine mtu anakwambia Maujanja suppliers hawana uwezo na bado mnamchukulia serious
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuunimemsoma mtoa mada na nimeona michango ya baadhi ya watu, mashabiki wa mziki wa bongo hawana tofauti saana na wa mpira wa bongo, yaani ni watu wa mapenzi na msanii matukio na sio good music, tena sanasana generation hii ya 2000's, mfano mtu anamtaja Benjamin wa mambo jambo? kwa wanaojua taste ya mziki mzuri watakua wamenielewa