Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Eti Mike T Mnyalu hana kipaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi vitoto vya siku hizi ni shida sana.
Mike tee hana uwezo kisanaa
 
Ongeza na jamaa mmoja anaitwa Wakazi. Huyu nimekuja kujua kwamba ni msanii baada ya kuingia Twitter. Pamoja na hvho bado sijua wimbi wake hata mmoja.

Halaf kuna weusi. Hao jamaa huwa wanaimba vitu ili mradi tu wapate vina lkn aaid ya hapo hakuna kitu
Unataka kusema joh wa nawavua sio talented. Show za joh, zamu yangu na nikumbatie dah
 
Mh. Temba unamdhalilisha, kizazi cha sasa hamjui lolote.

Mh. Temba ni shida nyingine, sema ni muda tu na vionjo wakati wake umepita.

Acha ujinga dogo, mwache Temba
Mh temba hauna uwezo wowote kimuziki ...aliotea zamani enz zile wasanii ni wachache
Kama ni msanii mkali atengeneze hit song sahv kama mwenzie chege
 
Ongeza na jamaa mmoja anaitwa Wakazi. Huyu nimekuja kujua kwamba ni msanii baada ya kuingia Twitter. Pamoja na hvho bado sijua wimbi wake hata mmoja.

Halaf kuna weusi. Hao jamaa huwa wanaimba vitu ili mradi tu wapate vina lkn aaid ya hapo hakuna kitu
Niaje nivipi, chochote popote
 
Nije na hoja vipi wakati wewe mwenyewe huna hoja?
Umeulizwa kipaji ni nini? Umeshindwa kujibu, unaishia kuwajudge wasanii kwa hitsong...
Kwako kama msanii hajatoa hitsong mfululizo et hana kipaji.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Mkuu hao nliowataja wote hawana uwezo kimuziki
 
Ukisema habar ya Hitsong hata Juma Nature hawezi fanya hivyo, huna hoja mzee unapotezea watu muda.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Tajiri unakaza fuvu tuu , vitu vyepesi kama hivi havihitaji kutumia nguvu kubwa kivielewa
Hit song ni moja ya vigezo lakini pia nje ya hit song hao nliowataja ukiangalia nyimbo zao nyingi zilibebwa either na chorus au bit tuu
 
Sugu
Temba

Hawa watu umewakosea sanaaa. Hawastahili kuwepo ktk list yako.
Sijakosea ...hawana uwezo wowote

Mfano mh temba amebebwa na chege kwa kipind kirefu sana ..
 
Back
Top Bottom