Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Da watoto WA sikuhizi mkashasikia mapiano akili zinahama kabisa sijui zinahamia makalioni?? Hivi kweli Sugu, kalapina, Mh Temba, Rich One na Jafarai hawana vipaji???

Sugu ambaye tukisema tu tuanzishe majadala wa mwanahiphop Bora wa muda wote huwezi kuacha kumtaja..
Sugu ni genius hebu kuweni na heshima basi
 
Sijanzumgumzia heshima ya sugu kwenye muziki wa bongo fleva , nimezungumzia uwezo wa sugu kimuziki kwa kifupi jamaa ana uwezo mdogo sana
 
Screenshot_20230409_232343_WhatsApp.jpg
 
Nimeenda ipakua iyo tunabang daah wayback aisee....lile biti sasa[emoji119][emoji119]wanaharakati wa mwenge hawa
Bang ya Nako2Nako skuwahi kuipenda hata kidogo( zote og na remix yake).

Mi wakati ule niliisikiliza sana BANG ya Mapacha, sikio langu likaisikiliza nikaona ndio kali.

Nakumbuka N2N na Mapacha waliingia kwenye mgogoro kiana ila wakayamaliza ki hip hop.
 
Nilivyokuta hilo jina,nikainuka ili kuhakikisha ikiwa ninaota au la! Ninadhani mtoa habari ni mtu wa Korea Kasikakazini. La sivyo basi kazaliwa 2010.
(Sito badilika).
Je utanipenda mi nikiwa fukara
Je utanipenda mi nisipong'ara
Je utanipenda?
Au ndio utaniponda?

Au je, utanipenda mi nisipokua na huu ustar
Siku nimechoka nimekosa chapaa?
Je utanipenda?
Au ndio utaniponda babyyyy???

Halafu useme Mike T Hana kipaji [emoji52][emoji23]
 
Da watoto WA sikuhizi mkashasikia mapiano akili zinahama kabisa sijui zinahamia makalioni?? Hivi kweli Sugu, kalapina, Mh Temba, Rich One na Jafarai hawana vipaji???

Sugu ambaye tukisema tu tuanzishe majadala wa mwanahiphop Bora wa muda wote huwezi kuacha kumtaja..
Sugu ni genius hebu kuweni na heshima basi
Atakuwa ni Kisingeli huyu mtoto. Lkn haina shida,keshokutwa ata rudi shuleni.
 
Je utanipenda mi nikiwa fukara
Je utanipenda mi nisipong'ara
Je utanipenda?
Au ndio utaniponda?

Au je, utanipenda mi nisipokua na huu ustar
Siku nimechoka nimekosa chapaa?
Je utanipenda?
Au ndio utaniponda babyyyy???

Halafu useme Mike T Hana kipaji [emoji52][emoji23]
Yaani ninajaribu kumfikiria huyu mtoa andiko hili,sema ndo hivyo kizazi cha singeli walivyo.
 
Sijakosea ...hawana uwezo wowote

Mfano mh temba amebebwa na chege kwa kipind kirefu sana ..
Mh Temba kabebwa na Chege ? HOW? Awa wamekutana na Wanaume Family, katafuta albam ya Monduli mobb inaitwa nini kutuzimia, msikilize Temba wayback kabla ajahamia Temeke. Then tafuta albam za wanaume zile mbili fuatilia alipoimba temba urudi na mrejesho....

Temba ndo ile Pure Rap Katuni
 
Back
Top Bottom