cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sidhani km kuna hoja zaidi, ila Sugu na Temba, hapana umewakosea sanaaa.Kataa kwa hoja sio unakataa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani km kuna hoja zaidi, ila Sugu na Temba, hapana umewakosea sanaaa.Kataa kwa hoja sio unakataa tuu
50 50 Mapacha wapo na marehemu mez b.Hii ngoma yuko na Ngwair, afu ndani ya wimbo kuna sauti km ya ngwair yaan km kachoka hivi, naipenda ile sauti.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
We kwel hamnazo.Huujui mziki iko hivi kama huna kipaji hata kujilikana huwezi tu.
Kitendo cha mpka wewe kuwajua tayari ulishasikia nyimbo zao.
Ina maana wana vipaji. Acheni kudharau watu
Elewa kuwa hata Harmorapa ana kipaji cha muziki.
Umesema Hana uwezo sasa aliwezaje kutoa hizo album??Umekosa point ya kuandika Sugu katoa 9 albums , wote tujiulize zina impact gani
Yan kwavile alianza zamani na ametoa album 9 ndo tumpe sifa ambazo hana?
We nanga kweli nani hao Dr shika, pierre liquid na mandonga wanaimba muziki?We kwel hamnazo.
Dr shika
Harmo rapa
Piere liquiid
Madonga
Hawa wote nna wajua na nna amini na ww unawajua haya ntajie vipaji walivyo navyo
Kipindi sugu anasikika redioni alikua ndo msanii pekee hvyo ilikua ni laIma askike coz hapakua na mpinzani , ndo maana aliishia kutamba 2000 baada ya vipaji halisi kuibuka , kina prof jay, ngwair, jay moe, FA na wengine kibaoUmesema Hana uwezo sasa aliwezaje kutoa hizo album??
Na pia ana hitsong nyingi Sana aliwezaje kufanya hivo tena tangu enzi hizo mziki wa rap ulikua unaonekana ni uhuni lakini alipenya na kuiteka jamii
Dudu baya na bou nako hawana uwezo kimuziki walitoka kipindi muziki haukuwa na wasanii wengi ..zamani ilikua ukisha record na ngoma ikabahatika kwenda redioni basi ujue ushatokaIla we jamaa unachekesha Sana bou nako ana Ngoma yake moja inaitwa MBIO ZA VIJITI...
Siku ukifika Musoma mjini halafu useme Bou Nako Hana kipaji walahi nakuapia kichwa chako kitakatwa mchana kweupeeeeeeeeee wapewe zawadi sangara wa ziwa Victoria...
Huyo Dudubaya unayesema Hana kipaji huenda wewe ndo hujui nyimbo zake na balaa zilizofanya mwanzoni mwa miaka ya 2000...
Hivi ulibahatika kusikiliza hizi ngoma Kwanza..
1. Nakupenda mpenzi
2. Nimeondoka
3. Mashaka
4. Nakupenda tu
5. Manundu
Kazi ipoo.Nawakosea heshima how?
Kuwa wa kitambo hakukufanyi uonekane ww ni bora mkuu .....sugu kinachombeba au kilichombebs ni harakat zake na vinega wenzie akina mapacha sjui na akna nani ila sio kam mkali au znajua hpna ukitak kuamini unawezz kaa kwenye radio mwez mzma zisipgwe nyimbo za sugu hzo za zamani hata moja ila ikapgwa ya prof jay, jide, mwana fa, sy, crazy gk nkWewe wa 2017 utamwelewa wapi Sugu alikuepo tangu 1995 ? Eti kijana unanielewa kweli?
Bibi Kidude unamjua au haumjui ? Usiruke hili swali maana mna kawaida ya kuruka maswalisugu kinachombeba au kilichombebs ni harakat zake na vinega wenzie akina mapacha sjui na akna nani ila sio kam mkali au znajua hpna ukitak kuamini unawezz kaa kwenye radio mwez mzma zisipgwe nyimbo za sugu hzo za zamani hata moja ila ikapgwa ya prof jay, jide, mwana fa, sy, crazy gk nk
yaan mm mkuu napenda mzkik hata huo mzk uliokua unapgwa kpnd sjazaliwa mm mpka leo huwa naiyltafta na kuiskiliza ko huwez niambia kitu mkuu
Na ile hayakua mapenzi,kiburi ni ngoma kaliJina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
We jamaa Huna unalolijua kabisa [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Kipindi sugu anasikika redioni alikua ndo msanii pekee hvyo ilikua ni laIma askike coz hapakua na mpinzani , ndo maana aliishia kutamba 2000 baada ya vipaji halisi kuibuka , kina prof jay, ngwair, jay moe, FA na wengine kibao
Ukitaka kujua sugu hakua na takent ,tangu walianza kina prof jay sugu hakusikika tena , mpaka akaanza kulalamika kuwa anabaniwa ikafika kipindi wakaunda kundi la Ant virus na labda nkukumbushe tuu wasanii wote aliounda nao Ant virus hawana vipaji vya muziki
Nyinyi kipaji mnazungumzia kipaji kipi majaji wa BSS kipaji kipi mnazungumzia sauti, utunzi, uandishi, uimbaji, mpangilio wa mashairi au kipaji kipi mnakizungu ?Na ile hayakua mapenzi,kiburi ni ngoma kali
Lakini twende mbele turudi nyuma sugu hana kipaji ila ni mwanaharakati mzuri wa hip hop
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app