Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
Kaka Sugu hamna kipaji pale.Da watoto WA sikuhizi mkashasikia mapiano akili zinahama kabisa sijui zinahamia makalioni?? Hivi kweli Sugu, kalapina, Mh Temba, Rich One na Jafarai hawana vipaji???
Sugu ambaye tukisema tu tuanzishe majadala wa mwanahiphop Bora wa muda wote huwezi kuacha kumtaja..
Sugu ni genius hebu kuweni na heshima basi
Flow mbovu
Mistari ya kawaida hata ww unaimba ile
Sugu ana ngoma tatu nazikubali sana lkn haina maana ana kipaji ,sugu ni mwanaharakati tu wa hip hop,hamnamo kipaji mule mbunge wangu yule
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app