Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Dr Dre ana ngoma moja Kali kamshilikisha Snoop Dogg..Ni hatariSiku ukija na list ya wasanii wa mbele anza na Dr. Dre na P. Diddy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Dre ana ngoma moja Kali kamshilikisha Snoop Dogg..Ni hatariSiku ukija na list ya wasanii wa mbele anza na Dr. Dre na P. Diddy
Get your fact right. Sugu sio muasisi wa bongo fleva ila aliweza kuibeba bongo fleva mabegani kwake miaka hiyo na kiufupi kipaji anacho.Nampa heshima kama muhasisi wa bongo fleva lakini hio haiondoi ukweli kuwa sugu hana kipaji cha muziki
Naomba uziweke Hapa Bang zote Kama utaweza kiongozi..Mimi naikumbuka Bang ya N2N soldiers..Bang ya Nako2Nako skuwahi kuipenda hata kidogo( zote og na remix yake).
Mi wakati ule niliisikiliza sana BANG ya Mapacha, sikio langu likaisikiliza nikaona ndio kali.
Nakumbuka N2N na Mapacha waliingia kwenye mgogoro kiana ila wakayamaliza ki hip hop.
Still D.R.E ?. Ile ngoma yote iliandikwa na Jay Z. Ila biti lake ni next level.Dr Dre ana ngoma moja Kali kamshilikisha Snoop Dogg..Ni hatari
Kuna dogo aliwahi kuja kumshindanisha humu Juma nature na G Nako eti nani mkali kwenye chorus?. Yani mtu hadi unajiuliza what the fu.ck is this?.Hawezi kuthubutu kusema hivo, Nature ni hazina ya taifa Top 10 ya wasanii kuwahi kutokea Nchii hii humkosi Nature yan apo unawaweka na kina Mbaraka Mwishee et al
Wanaoimba utumbo alafu ukwa hit wapo wengi hata marekani wapo..Wote wa zamani. Yaani zamani ulikua ukiingia studio tu umetoka.
Mfano kuna mwamba aliimba:
"Ni namna gani, tuta win, maishani hadi siku tutasema buriani.."
Aliimba utumbo haujawahi tokea ila alitoka kwa zama zile.
Anytime ntaenda na Nature......Kuna dogo aliwahi kuja kumshindanisha humu Juma nature na G Nako eti nani mkali kwenye chorus?. Yani mtu hadi unajiuliza what the fu.ck is this?.
Naomba nikuulize.. Hawa madogo wanaitwa mabantu unawaonaje..je wanakipaji au hawana ?Labda nkuulize sugu ana uwezo gan kimuziki?
Mkuu Jafarai siyo wakutetewa kabisa hana uwezo wowote ngoma ndiyo hiyo tu alikuja kufanya na ushuzi mwingine et wali nazi..Kama nyimbo ya jafarai ft daz baba niko bize bonge ya nyimbo utawafananisha na hawa wasanii wa sahivi
Sinazo kwenye simu yangu ila ukigoogle utakutana nazo mkuu Leonard RobertNaomba uziweke Hapa Bang zote Kama utaweza kiongozi..Mimi naikumbuka Bang ya N2N soldiers..
Boara young Lunya.. lakini huyu dayoo sijui platform..Ni upuuzi mtupuWewe Bora ume-admit kua ni shabiki Ila kwako unamuona wa kawaida, sasa ulitaka afanye nini umuone wa maana aimbe km YoungLunya au Dayoo ?
Wewe una-define vip kipaji kwamba kutoa nyimbo kila siku ndo kipajiMkuu Jafarai siyo wakutetewa kabisa hana uwezo wowote ngoma ndiyo hiyo tu alikuja kufanya na ushuzi mwingine et wali nazi..
Kwa Mh. TEMBA kachemka na maji chumviTemba
Soggy dog
Hapo umechemka mkuu
Akimsikiliza easy e wa west coast atakuambia hana kipajiDogo umenitoa machozi kusema Sugu na Mike tee hana kipaji yan like serious mdogo wangu unakuja kutusi ma Legend humu.
Any way pengine nakusamehe kutokana na umri wako.
1.Sugu moto chini
2. Mambo ya Fedha
3.Jeuri
4. Hayakuwa mapenzi hii mgoma almost kila baada ya siku 3 naskiliza kuna mpenz wangu enzi hizo aliondoka tu na sikujua shida nini? Yani aliaga kama atarudi nikampa ma mazaga kibao ajabu hakurudi akasema ameolewa.
Ukija recently kama unavotaka ana ngoma inaitwa freedom na mtiti.
Vile anavoongea ndio u Mc wenyewe dogo unaliacha bit kama huna time nalo vile.
Dogo pumbavu sana wewe.
Huo wimbo ameimba Fred Saganda, jamaa ana kipaji kikubwa tu ni vile hukumuelewa.Wote wa zamani. Yaani zamani ulikua ukiingia studio tu umetoka.
Mfano kuna mwamba aliimba:
"Ni namna gani, tuta win, maishani hadi siku tutasema buriani.."
Aliimba utumbo haujawahi tokea ila alitoka kwa zama zile.
Shida ni kwamba wengi unawajaji kwa nyakti za sasa,kitendo cha kutoa nyimbo kwa nyakati zao na kuhit ni kipaji tosha ila soko la sasa bdo limewakataa,hata marijab rajab au remmy ongala leo hii wangetoa nyimbo ungewajaji hawana vipaji,hawa unaowaona wana vipaji leo next 10 years utasema walikuwa hawana vipaji....,hao uliowataja wengi wana vipaji ila siyo mpaka vifanane kama marapa wenu wa sasa,nyimbo kama Mstari wa mbele,umoja ni nguvu ulitaka pina aimbe nn ili umpe heshima ww mtoto usiyejua mziki,heshim wazee!!Kalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache
Sugu
Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita licha ya kuwa na heshima kama moja ya waasisi wa music wa hiphop tanzania , ukweli ni kwamba hana kipaji cha music
Jaffarai
Huyu ni moja ya member wa wateule alitamba na wimbo wa niko bize .lakini hakuweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu kutokana ukweli hana kipaji
Mchizi mox
Huyu pia ni member mwingine wa wateule ngoma zake zilizowahi kupata airtime ni mambo vp na chupa nyingine . lakini uwezo wake ni wa kawaida sana
Mike tee mnyalu
Huyu jamaa alipata airtime miaka ya zamani kwa ngoma zake lakini ukimskiliza ni wazi hana uwezo kabisa. Ni moja kati ya wasanii ambao huwa wanaandikiwa
Soggydog hunter
Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake
Bou nako
Huyu alikua member wa N2N lakini tangu hakua na uwezo kabisa .nafkir wana walimbeba tuu kutokana na love .ila kwenye music jamaa hana kipaji
Fido vato
Huyu member wa vatokoko soldiers ni empy kabisa , analazimisha fan tuu ila ukweli anaujua kuwa hana uwezo wowote ule zaidi ya kujikuta gangstar
Kr mulah
Huyu ndio founder wa style ya kucheza Mapanga . ameanza sanaa muda mrefu sana lakini ukimskiliza utagundua jamaa hana uwezo wowote kwenye music kwa kifupi hana kipaji
Mh temba
Huyu ni member wa TMK wanaume family mwanzoni alibahatisha ngoma kama tatu zikaenda mjini, baadaye akaja kuungana na chege wakatoa hadi album..ila ukimfuatilia vizur jamaa hana
uwezo kabisa
Rich one
Huyu pia ni member wa TMK alitamba na ngoma moja aliyomshirikisha Juma nature inaitwa hatuna kitu.baada ya hapo hajawai kutoa hitsong tena, Jamaa anasifika kwa utapeli wa kuandaa show na wasanii fake huko mkoani afu anapiga hela
Dudu baya
Huyu jamaa aliotea ngoma kama tatu tuu ambazo zilimtambulisha vyema kwenye game .lakini alipata jina kwakua kipindi anatoka hapakua na upinzani mkali kama ilivyo sasa
Dark master
Huyu ndo muhasisi wa Chamber squard Nampa heshima kubwa sana kwa kuweza kuiweka dodoma kwenye ramani ya muziki , Lakini tukiongelea uwezo binafsi .jamaa anauwezo wa kawaida sana
John mjema,
The late John mjema alitamba na wimbo wa wachumba 30. Na ngoma zingine alizofanya kwenye kundi lao aliokua na kina the late steve 2kna buibui .lakini tukimzungumzia binafsi kimuziki jamaa hana kipaji cha muziki
Maujanja suppliers
Hawa jamaa nawakubali kwa harakati zao za street lakini kwenye music watupishe hawana vipaji .lakini wao wamekua wanalalamika wanabaniwa kitu ambacho sio ukweli
Kama unafuatilia music wa bongo fleva utakua unakubaliana na mimi hawa jamaa hawana talent za music kabisa