Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Dogo umenitoa machozi kusema Sugu na Mike tee hana kipaji yan like serious mdogo wangu unakuja kutusi ma Legend humu.

Any way pengine nakusamehe kutokana na umri wako.

1.Sugu moto chini
2. Mambo ya Fedha
3.Jeuri
4. Hayakuwa mapenzi hii mgoma almost kila baada ya siku 3 naskiliza kuna mpenz wangu enzi hizo aliondoka tu na sikujua shida nini? Yani aliaga kama atarudi nikampa ma mazaga kibao ajabu hakurudi akasema ameolewa.

Ukija recently kama unavotaka ana ngoma inaitwa freedom na mtiti.

Vile anavoongea ndio u Mc wenyewe dogo unaliacha bit kama huna time nalo vile.

Dogo pumbavu sana wewe.
We ndo mpumbavu unaendeshwa na mihemko tuliza kichwa msikilize sugu vizuri utagundua jamaa ni mweupe sana
 
Wanaoimba utumbo alafu ukwa hit wapo wengi hata marekani wapo..
Sikiliza wimbo wa Nini mnataka mazee wa pig black anarap mambo yasiyoeleweka lakini wimbo Bora Sana kwa wakati huo..
Umeona eeh
 
Dah, hivi flow ni nini.? Mistari mizuri ni ipi.? Kila mtu anaweza kuwa na flow ya Big n.k.? Nafikiri kwenye orodha hii mwandishi anapaswa kupitia tena baadhi ya majina na kufikiri upya anachosema kuhusu wasanii wao ni cha kweli au ni kwa sababu sikio na hisia zake hazijaelewa wanachofanya watu hao.

Makini na fani, Dsm, hayakuwa mapenzi, moto chini, sugu n.k ni ngoma ambazo zinaweza kukufanya ufikirie upya juu ya Sugu ( ila ni kama kichwa chako hakijaamua kufungamana na chuki ).

Hasira, mstari wa mbele, nyimbo tosha na sina muda ft Fid & Jcb zinaweza kukufanya ujifikirie tena kuhusu Pina.

NB; ubovu wa kitu hauhalalishwi kwa sababu tu haupendezi au kufurahisha baadhi ya watu.
 
Kuna dogo aliwahi kuja kumshindanisha humu Juma nature na G Nako eti nani mkali kwenye chorus?. Yani mtu hadi unajiuliza what the fu.ck is this?.
Kwa muziki ulipofikia

G nako anaweza akashindanishwa na Juma nature coz wote wawili washafanya chorus nyingi

Yan ww kwa ujinga wako unataka legends wasishindanishwe na wasanii wa sasa kiuwezo?
 
Watoto wadogo ndio hawawezi kumuelewa Sugu.
Sugu is the most successful Rap star in Tanzania. He is the G.O.AT
Watoto waliozaliwa miaka ya juzi pia kule US hawamuelewi Ice Cube, Nas na malegend wengine wa zamani.
Hatuzungumzii mafanikio , tunazungumzia uwezo wake kisanaa
 
kIla nikimsikiliza Sugu nakumbuka flow zetu kwa ajili ya mahafali ya darasa la Saba.
Ukipata nafasi fuatilia mahafali yoyote ya darasa la saba.
 
Hivi kwani lazima wote tuwe wanamziki?Mimi nadhani tumetosha wengine mbaki tu washabiki
Afande sele aliongea kitu maana sana kwenye mtazamo

Ye mwenyewe alikua anajua kuna wasanii wengi wabovu wako main stream
 
Music unapitia revorution kibao, ukichukua hiphop ya ya sasa ya akina Drake... Ni tofauti na Hip hop ya 90s ya akina Dre, Snoop, Rahakim, Easy E, Coolio,

Nadhani mtu kama Sugu aendelee kupewa heshima yake...Angalia BET hipHop award huwa wanatunza zawadi ya heshima kwa legendary artist.. Na juzi kati nilikuwa nacheki tuzo za Hiphop 2022 ziloshabadirika ...huwezi sema mtu kama Fat joe, 50, RUN Dmc hawama kipaji...

Music inaenda inabadirika, Na zama zinaenda zinabadirika...kila zama na kitabu chake, ipo siku akina diamond wataomekana si kitu kulingana na music ulivyo

Zama za leo angalia wasanii kama dogo 69 , The late, Pop Smoke uimbaji wao ni tofauti na wa enzi za akina snop , Mc Hammet, Ice T
 
Get your fact right. Sugu sio muasisi wa bongo fleva ila aliweza kuibeba bongo fleva mabegani kwake miaka hiyo na kiufupi kipaji anacho.
Huko kuibeba bongo fleva ndo kunakompa heshima
Lakini uwezo hana ..yule ni mwanaharakati tuu
 
Kama umefanya uchunguzi, utagundua kuwa Prof. J ana collabo chache sana alizoshirikishwa, na ni kama alikuwa selective sana katika watu wa kufanya nao kazi, yaani ni kama alikuwa anakubali kushirikishwa na msanii ambaye yeye (Profesa J) anamuona kuwa ni ana kipaji. Sasa hapo kashirikishwa na Soggy. (Prof. aliona kuwa Soggy ni msanii mwenye kipaji)

Kutoka mwaka 2000 baada ya Chemsha Bongo, Prof alikuja fanya collabo kwa kushirikishwa na Banana Zoro (bado nakuhitaji) akafanya na Bodea (Hard Core). Ingawa yeye kwenye album ya Machozi, Jasho na Damu aliwashirikisha wasanii wengi tu mpaka wachanga.
Prof jay kufanya collabo na Soggy dog ni kama heshima tuu coz Jay kamkuta soggy kashaanza muziki
 
Sema hukuwahi kumuelewa ila sio hana kipaji tujue kutofautisha vitu, hata mimi jafarah sikuwahi kumwelewa ila najua anakipaji.
Hana kipaji cha muziki ni rapper mbovu mnoo
 
Music unapitia revorution kibao, ukichukua hiphop ya ya sasa ya akina Drake... Ni tofauti na Hip hop ya 90s ya akina Dre, Snoop, Rahakim, Easy E, Coolio,

Nadhani mtu kama Sugu aendelee kupewa heshima yake...Angalia BET hipHop award huwa wanatunza zawadi ya heshima kwa legendary artist.. Na juzi kati nilikuwa nacheki tuzo za Hiphop 2022 ziloshabadirika ...huwezi sema mtu kama Fat joe, 50, RUN Dmc hawama kipaji...

Music inaenda inabadirika, Na zama zinaenda zinabadirika...kila zama na kitabu chake, ipo siku akina diamond wataomekana si kitu kulingana na music ulivyo

Zama za leo angalia wasanii kama dogo 69 , The late, Pop Smoke uimbaji wao ni tofauti na wa enzi za akina snop , Mc Hammet, Ice T
Sugu mimi nampa heshima yake ...lakini natambua fika uwezo wake kisanaa ni mdogo mno
 
Dah, hivi flow ni nini.? Mistari mizuri ni ipi.? Kila mtu anaweza kuwa na flow ya Big n.k.? Nafikiri kwenye orodha hii mwandishi anapaswa kupitia tena baadhi ya majina na kufikiri upya anachosema kuhusu wasanii wao ni cha kweli au ni kwa sababu sikio na hisia zake hazijaelewa wanachofanya watu hao.

Makini na fani, Dsm, hayakuwa mapenzi, moto chini, sugu n.k ni ngoma ambazo zinaweza kukufanya ufikirie upya juu ya Sugu ( ila ni kama kichwa chako hakijaamua kufungamana na chuki ).

Hasira, mstari wa mbele, nyimbo tosha na sina muda ft Fid & Jcb zinaweza kukufanya ujifikirie tena kuhusu Pina.

NB; ubovu wa kitu hauhalalishwi kwa sababu tu haupendezi au kufurahisha baadhi ya watu.
Hayo ni maoni yako mkuu, kwa mimi sijawahi ona uwezo wa Sugu na Pina wa kikosi cha mizinga
 
Dah, hivi flow ni nini.? Mistari mizuri ni ipi.? Kila mtu anaweza kuwa na flow ya Big n.k.? Nafikiri kwenye orodha hii mwandishi anapaswa kupitia tena baadhi ya majina na kufikiri upya anachosema kuhusu wasanii wao ni cha kweli au ni kwa sababu sikio na hisia zake hazijaelewa wanachofanya watu hao.

Makini na fani, Dsm, hayakuwa mapenzi, moto chini, sugu n.k ni ngoma ambazo zinaweza kukufanya ufikirie upya juu ya Sugu ( ila ni kama kichwa chako hakijaamua kufungamana na chuki ).

Hasira, mstari wa mbele, nyimbo tosha na sina muda ft Fid & Jcb zinaweza kukufanya ujifikirie tena kuhusu Pina.

NB; ubovu wa kitu hauhalalishwi kwa sababu tu haupendezi au kufurahisha baadhi ya watu.
Pina yumo kwenye list kihalali kabisa labda kama ni mshkaji wako.
 
Back
Top Bottom