Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo mpumbavu unaendeshwa na mihemko tuliza kichwa msikilize sugu vizuri utagundua jamaa ni mweupe sanaDogo umenitoa machozi kusema Sugu na Mike tee hana kipaji yan like serious mdogo wangu unakuja kutusi ma Legend humu.
Any way pengine nakusamehe kutokana na umri wako.
1.Sugu moto chini
2. Mambo ya Fedha
3.Jeuri
4. Hayakuwa mapenzi hii mgoma almost kila baada ya siku 3 naskiliza kuna mpenz wangu enzi hizo aliondoka tu na sikujua shida nini? Yani aliaga kama atarudi nikampa ma mazaga kibao ajabu hakurudi akasema ameolewa.
Ukija recently kama unavotaka ana ngoma inaitwa freedom na mtiti.
Vile anavoongea ndio u Mc wenyewe dogo unaliacha bit kama huna time nalo vile.
Dogo pumbavu sana wewe.
Kwa muziki ulipofikiaKuna dogo aliwahi kuja kumshindanisha humu Juma nature na G Nako eti nani mkali kwenye chorus?. Yani mtu hadi unajiuliza what the fu.ck is this?.
Hatuzungumzii mafanikio , tunazungumzia uwezo wake kisanaaWatoto wadogo ndio hawawezi kumuelewa Sugu.
Sugu is the most successful Rap star in Tanzania. He is the G.O.AT
Watoto waliozaliwa miaka ya juzi pia kule US hawamuelewi Ice Cube, Nas na malegend wengine wa zamani.
Ni kweli Jaffarai hana kipaji, sikuwahi kumuelewa
Prof jay kufanya collabo na Soggy dog ni kama heshima tuu coz Jay kamkuta soggy kashaanza muzikiKama umefanya uchunguzi, utagundua kuwa Prof. J ana collabo chache sana alizoshirikishwa, na ni kama alikuwa selective sana katika watu wa kufanya nao kazi, yaani ni kama alikuwa anakubali kushirikishwa na msanii ambaye yeye (Profesa J) anamuona kuwa ni ana kipaji. Sasa hapo kashirikishwa na Soggy. (Prof. aliona kuwa Soggy ni msanii mwenye kipaji)
Kutoka mwaka 2000 baada ya Chemsha Bongo, Prof alikuja fanya collabo kwa kushirikishwa na Banana Zoro (bado nakuhitaji) akafanya na Bodea (Hard Core). Ingawa yeye kwenye album ya Machozi, Jasho na Damu aliwashirikisha wasanii wengi tu mpaka wachanga.
Sugu mimi nampa heshima yake ...lakini natambua fika uwezo wake kisanaa ni mdogo mnoMusic unapitia revorution kibao, ukichukua hiphop ya ya sasa ya akina Drake... Ni tofauti na Hip hop ya 90s ya akina Dre, Snoop, Rahakim, Easy E, Coolio,
Nadhani mtu kama Sugu aendelee kupewa heshima yake...Angalia BET hipHop award huwa wanatunza zawadi ya heshima kwa legendary artist.. Na juzi kati nilikuwa nacheki tuzo za Hiphop 2022 ziloshabadirika ...huwezi sema mtu kama Fat joe, 50, RUN Dmc hawama kipaji...
Music inaenda inabadirika, Na zama zinaenda zinabadirika...kila zama na kitabu chake, ipo siku akina diamond wataomekana si kitu kulingana na music ulivyo
Zama za leo angalia wasanii kama dogo 69 , The late, Pop Smoke uimbaji wao ni tofauti na wa enzi za akina snop , Mc Hammet, Ice T
Hayo ni maoni yako mkuu, kwa mimi sijawahi ona uwezo wa Sugu na Pina wa kikosi cha mizingaDah, hivi flow ni nini.? Mistari mizuri ni ipi.? Kila mtu anaweza kuwa na flow ya Big n.k.? Nafikiri kwenye orodha hii mwandishi anapaswa kupitia tena baadhi ya majina na kufikiri upya anachosema kuhusu wasanii wao ni cha kweli au ni kwa sababu sikio na hisia zake hazijaelewa wanachofanya watu hao.
Makini na fani, Dsm, hayakuwa mapenzi, moto chini, sugu n.k ni ngoma ambazo zinaweza kukufanya ufikirie upya juu ya Sugu ( ila ni kama kichwa chako hakijaamua kufungamana na chuki ).
Hasira, mstari wa mbele, nyimbo tosha na sina muda ft Fid & Jcb zinaweza kukufanya ujifikirie tena kuhusu Pina.
NB; ubovu wa kitu hauhalalishwi kwa sababu tu haupendezi au kufurahisha baadhi ya watu.
Pina yumo kwenye list kihalali kabisa labda kama ni mshkaji wako.Dah, hivi flow ni nini.? Mistari mizuri ni ipi.? Kila mtu anaweza kuwa na flow ya Big n.k.? Nafikiri kwenye orodha hii mwandishi anapaswa kupitia tena baadhi ya majina na kufikiri upya anachosema kuhusu wasanii wao ni cha kweli au ni kwa sababu sikio na hisia zake hazijaelewa wanachofanya watu hao.
Makini na fani, Dsm, hayakuwa mapenzi, moto chini, sugu n.k ni ngoma ambazo zinaweza kukufanya ufikirie upya juu ya Sugu ( ila ni kama kichwa chako hakijaamua kufungamana na chuki ).
Hasira, mstari wa mbele, nyimbo tosha na sina muda ft Fid & Jcb zinaweza kukufanya ujifikirie tena kuhusu Pina.
NB; ubovu wa kitu hauhalalishwi kwa sababu tu haupendezi au kufurahisha baadhi ya watu.