mud-oil-chafu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2020
- 587
- 954
Huendaope amekuelewa "mawani" ni lugha ya kuleta msisitizo zaidi instead of miwani
Kwani hizi tuzo SI wamezotoa kupitia msimu uliopita au, na ndo maana akina chama , miquison wamoZile zilikua takwimu za ligi msimu uliopita
Hahahaha umeelewa nilichojibu?Kwani hizi tuzo SI wamezotoa kupitia msimu uliopita au, na ndo maana akina chama , miquison wamo
Zile takwimu zilikuwa ni Ligi kuu pekee. Hata kichwa cha habari kilikuwa hivyoHabari za muda Wana jamvi...
Binafsi sihitaji kudecrare interest lakini something is still spinning in my atriums,
Binafsi Nina uhakika manara Kama angebakia Simba angeibeba tuzo hii ya muhamasishaji Bora , shida ni yeye kwenda upande wa gundu , pengine hata zile takwimu zilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ni nothing kwa Simba ili asije akajikweza, napata wakati Mgumu Kwan Simba alicheza game nyingi kimataifa ambazo yanga hawakucheza na gemu kibao waliingiza mashabiki 15000++ , na ni zilikuwa Kama 8 ++, haimake sense , au mashabiki wa game za kimataifa hawakuingia kwenye takwimu???, Hata Kama yanga wanawazidi Simba mashabiki kias gani Ina maana yanga walifidia game za ligi tu wale jamaa wa kimataifa, ukumbuke Simba waliuza tiketi kwa wanachama tu so hakukuwa na mamluki,Kuna game waliingizamashabiki 30000 wenye kadi tu,....inawezekana tff target yenu ni kuikomoa yanga by any means had watu waliofanya makubwa kwenu kuwanyima nafasi wakiwa upande msio uhusudu, Nina uhakika zile takwimu zilikuwa ni za kuuhadaa ulimwengu kuwa yanga waliingiza mashabiki wengi kuliko utelembwe wakati utelembwe walikuwa na cafcl games, warace karia acha roho mbaya hii itakutia doa sana , turud kwenye takwimu , Kama zilikuwa ni sahihi kwanini msimpe nugaz tuzo, so ishu yenu ni kuhakikisha nobody utopolo side is honored despite how best he is why bongo zozo?.
Kahamasisha Nini ?
Manara hawez chukua sabab tu ni utoporo?
Au nugaz hawez chukua sababu ni utoporo pia ?
Mchezaji Bora lazima awe mfungaji Bora au hili ni geni kwako?Kwani hizi tuzo SI wamezotoa kupitia msimu uliopita au, na ndo maana akina chama , miquison wamo
Hawa #18 ndiyo wamewatoa 'Kimasomaso' Ndugu zao Wakubwa na Mashabiki zao 'oya oya' Wote au? Imesikitisha na kutia Huruma pia.Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda
1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc
2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc
3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc
4.kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess
5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans
6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko
7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc
8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)
9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc
10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc
11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga
12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula
13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison
14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni
15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo
16. Bingwa ligi kuu Simba Sc
17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc
18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess
Ko cafcl hawakuziona zile fujo kabla ya game kule Nigeria, hawajaona yanga wakilalamika kuhusu vyumba vya kubadilishia nguo had yanga anavalia Jez jukwaan... Ila wakaja kuona mashabiki 16 tu... Nna uhakika Kama yanga angeshinda angeporwa pointNdio mpira wetu huu... Umejawa na ushabiki wa timu na ukanda kuliko mapenzi ya soka kwa ujumla
Sjazungumzia huko mzee na nnakubali kuwa Simba walikuwa Bora kila engo na ndo maana wamebeba zote... Ishu kwa bongo zozo hapaMchezaji Bora lazima awe mfungaji Bora au hili ni geni kwako?
Ko bongozozo kafanya kazi kubwa kuliko ya ligi kuu... Bongozozo kapewa mchongo tuZile takwimue zilikuwa ni Logo kuu pekee. Hata kichwa cha habari kilikuwa hivyo
Yale makoti wameyatoa wapi wakati hata sisi mtaani hatuyavai au walishtukizwa jioni,mbona yule dogo wa goli bora alichomekea zake shati fresh na amependezaMdogo wangu Feisal sijamuelewa kabisa
Pia kuna mechi nyingi tu bocco alikula benchiI declare my interest, my side is Young African sc. Kwenye tuzo hizi John Bocco hakustahili hiyo tuzo ya MVP. Kwa sababu hata kwenye takwimu za mchezaji Bora wa mwezi appearance yake Ni mashaka pia. Na hii ilitokana muda mwingi kuwa majeruhi. Kwangu MVP angekuwa Chama au Kondeboy nisingekuwa na Shaka lolote.
May be tatizo lipo TFF kutoa taarifa wanazima makusudi ,game ya yanga taarifa ilichelewa mno ,imekuja kutoka usiku wa kuamkia siku ya mechi but Simba inacheza Galaxy taarifa ishatoka idadi ya mashabiki watakaoingiaHivi unakumbuka ule mwaka yanga anatolewa na Al ahly club bingwa hatua Kama hii ambayo Simba wanacheza , said bahanuzi akakosa penalty,... Egypt ilikuwa na machafuko kisiasa na waliamriwa kucheza bila mashabiki Ila wasela wakaingiza jeshi likashabikia mpira na ni walikuwa not less than 500 wale jamaa , hata ile game ya liver raia waliokuwa uwanjan ni sawa na waliokuwa kwa Mkapa and no one care...yanga Ina mikosi sana
Kwa hiyo feisal aliamua kuvaa koti aliloachiwa na Sarpong[emoji23][emoji23]
Hii namba 18 imewekwa kubalance mambo kama tuzo ya kibwana shomaryMpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda
1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc
2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc
3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc
4.kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess
5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans
6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko
7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc
8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)
9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc
10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc
11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga
12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula
13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison
14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni
15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo
16. Bingwa ligi kuu Simba Sc
17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc
18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess
Manara kapigwa faini, katishia kudhalilisha wana habari sasa leo anakuwaje bora?wagosi wa kaya tumechukua tuzo mbili.....hiyo ya uhamasishaji mbona manara kama katoswa!
Mbona munachanganya? TFF na board ya leage wanasimamia ligi kuu ya VPL mda ule saaa takwimu za caf zinakuja je tena.Nop wengine huenda wangelaum Ila si mimi, man wew ni msimbaz mm mwananch hivi inawezekanaje Simba ilicheza gem Zaid ya kumi kimataifa Tena game ambazo mashabiki wanadesire ya kujaa uwanjan wanazidiwa mashabiki na yanga, had nawaza kuwa waliona noma kumpa manara takwimu Bora waipe yanga
Hapana mkuu,mchezaji bora wanaangalia perfomance na uwingi wa dakika ulizocheza kwa msimu.Mchezaji Bora lazima awe mfungaji Bora au hili ni geni kwako?
Naona wametaka hawa wazee wastaafu soka kwa heshma, wahifadhi vizuri hizi zawadi kwani hazitajirudia.Kwahiyo tuna kubaliana Simba SC ni Moto!!..Tuzo 90% wamechukua hawa Simba SC