Orodha ya washindi tuzo za TFF

Orodha ya washindi tuzo za TFF

Habari za muda Wana jamvi...
Binafsi sihitaji kudecrare interest lakini something is still spinning in my atriums,
Binafsi Nina uhakika manara Kama angebakia Simba angeibeba tuzo hii ya muhamasishaji Bora , shida ni yeye kwenda upande wa gundu , pengine hata zile takwimu zilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ni nothing kwa Simba ili asije akajikweza, napata wakati Mgumu Kwan Simba alicheza game nyingi kimataifa ambazo yanga hawakucheza na gemu kibao waliingiza mashabiki 15000++ , na ni zilikuwa Kama 8 ++, haimake sense , au mashabiki wa game za kimataifa hawakuingia kwenye takwimu???, Hata Kama yanga wanawazidi Simba mashabiki kias gani Ina maana yanga walifidia game za ligi tu wale jamaa wa kimataifa, ukumbuke Simba waliuza tiketi kwa wanachama tu so hakukuwa na mamluki,Kuna game waliingizamashabiki 30000 wenye kadi tu,....inawezekana tff target yenu ni kuikomoa yanga by any means had watu waliofanya makubwa kwenu kuwanyima nafasi wakiwa upande msio uhusudu, Nina uhakika zile takwimu zilikuwa ni za kuuhadaa ulimwengu kuwa yanga waliingiza mashabiki wengi kuliko utelembwe wakati utelembwe walikuwa na cafcl games, warace karia acha roho mbaya hii itakutia doa sana , turud kwenye takwimu , Kama zilikuwa ni sahihi kwanini msimpe nugaz tuzo, so ishu yenu ni kuhakikisha nobody utopolo side is honored despite how best he is why bongo zozo?.
Kahamasisha Nini ?
Manara hawez chukua sabab tu ni utoporo?
Au nugaz hawez chukua sababu ni utoporo pia ?
Zile takwimu zilikuwa ni Ligi kuu pekee. Hata kichwa cha habari kilikuwa hivyo
 
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda

1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc

2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc

3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc

4.kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess

5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans

6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko

7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc

8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)


9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc


10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc

11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga

12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula

13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison


14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni

15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo


16. Bingwa ligi kuu Simba Sc

17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc

18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess
Hawa #18 ndiyo wamewatoa 'Kimasomaso' Ndugu zao Wakubwa na Mashabiki zao 'oya oya' Wote au? Imesikitisha na kutia Huruma pia.
 
Ndio mpira wetu huu... Umejawa na ushabiki wa timu na ukanda kuliko mapenzi ya soka kwa ujumla
Ko cafcl hawakuziona zile fujo kabla ya game kule Nigeria, hawajaona yanga wakilalamika kuhusu vyumba vya kubadilishia nguo had yanga anavalia Jez jukwaan... Ila wakaja kuona mashabiki 16 tu... Nna uhakika Kama yanga angeshinda angeporwa point
 
I declare my interest, my side is Young African sc. Kwenye tuzo hizi John Bocco hakustahili hiyo tuzo ya MVP. Kwa sababu hata kwenye takwimu za mchezaji Bora wa mwezi appearance yake Ni mashaka pia. Na hii ilitokana muda mwingi kuwa majeruhi. Kwangu MVP angekuwa Chama au Kondeboy nisingekuwa na Shaka lolote.
Pia kuna mechi nyingi tu bocco alikula benchi
 
Hivi unakumbuka ule mwaka yanga anatolewa na Al ahly club bingwa hatua Kama hii ambayo Simba wanacheza , said bahanuzi akakosa penalty,... Egypt ilikuwa na machafuko kisiasa na waliamriwa kucheza bila mashabiki Ila wasela wakaingiza jeshi likashabikia mpira na ni walikuwa not less than 500 wale jamaa , hata ile game ya liver raia waliokuwa uwanjan ni sawa na waliokuwa kwa Mkapa and no one care...yanga Ina mikosi sana
May be tatizo lipo TFF kutoa taarifa wanazima makusudi ,game ya yanga taarifa ilichelewa mno ,imekuja kutoka usiku wa kuamkia siku ya mechi but Simba inacheza Galaxy taarifa ishatoka idadi ya mashabiki watakaoingia
 
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda

1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc

2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc

3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc

4.kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess

5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans

6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko

7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc

8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)


9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc


10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc

11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga

12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula

13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison


14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni

15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo


16. Bingwa ligi kuu Simba Sc

17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc

18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess
Hii namba 18 imewekwa kubalance mambo kama tuzo ya kibwana shomary
 
Nop wengine huenda wangelaum Ila si mimi, man wew ni msimbaz mm mwananch hivi inawezekanaje Simba ilicheza gem Zaid ya kumi kimataifa Tena game ambazo mashabiki wanadesire ya kujaa uwanjan wanazidiwa mashabiki na yanga, had nawaza kuwa waliona noma kumpa manara takwimu Bora waipe yanga
Mbona munachanganya? TFF na board ya leage wanasimamia ligi kuu ya VPL mda ule saaa takwimu za caf zinakuja je tena.
Au ndo kutaka kuhalalisha ya bongozozo.
 
Back
Top Bottom