orodha ya watu waliosoma udsm na sifa zao

kingxvi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
879
Reaction score
151
naanza na samweli sitta muhitamu wa shahada ya sheria pale udsm

huyu mzee alikabidhiwa na mwalimu j.k kuongoza c.d.a Dodoma ili iweze kuwa makao makuu matokeo yake aliwajaza watu wa tabora pale kina rage.wakafuja pesa za miradi mbalimbali mpaka leo dodoma mako makuu yamekuwa ndoto.

msomi huyu wa udsm pia alijenga ofisi ya spika tabora akifikiria atakuwa spika milele
 
Tehetehetehetehetehetehetehe. Pamoja na hayo, UDSM ndo baba lao. The best University in TZ.
 
naanza na samweli sitta muhitamu wa shahada ya sheria pale udsm

huyu mzee alikabidhiwa na mwalimu j.k kuongoza c.d.a Dodoma ili iweze kuwa makao makuu matokeo yake aliwajaza watu wa tabora pale kina rage.wakafuja pesa za miradi mbalimbali mpaka leo dodoma mako makuu yamekuwa ndoto.

msomi huyu wa udsm pia alijenga ofisi ya spika tabora akifikiria atakuwa spika milele

duh kumbe
 
We msela tangu udsm wakupge chini unaiandama sana!jilaumu mwenyewe kwa kuwa kilaza hadi ukashndwa kufaulu vzr form 6.pole sana.
 
naanza na samweli sitta muhitamu wa shahada ya sheria pale udsm

huyu mzee alikabidhiwa na mwalimu j.k kuongoza c.d.a Dodoma ili iweze kuwa makao makuu matokeo yake aliwajaza watu wa tabora pale kina rage.wakafuja pesa za miradi mbalimbali mpaka leo dodoma mako makuu yamekuwa ndoto.

msomi huyu wa udsm pia alijenga ofisi ya spika tabora akifikiria atakuwa spika milele

Kumbe ni muhitamu wa UD? Chck wahitimu wa UD, UDSM finest commnt na hapa
tundu-lissu-2.jpg

Zitto-Kabwe.jpg

mdee1.jpg

Magufuli(56).jpg

MnyikaOfisi(3).jpg
 
Ridhiwani Kikwete :milionea mwenye shahada moja tu ya sheria
 
seriously guys u got to stop this crazy obsession with udsm..maana hapa wote tunajua haya malumbano hayana conclusion ya maana kesho mwingine ata fungua thread kama hii yaani hamna jipya...kuweni ma great thinkers basi!
 
kaka ebu jaribu kufatilia comments na nyuzi za huyu mleta mada. Utagundua there z no making this guy understand ni kwenda nae 2. Take some few secs kupitia...
 
Mi ckujua kumbe ucpo somea udsm we ni kiraza?mi nadhan nyie ndo viraza tutasemaje sie tuliopewa udhamin wa kusoma nje na serikari?eti udsm!!pwa,pwa,pwa,pwa,pwa...!!
 
Kumbe ni muhitamu wa UD? Chck wahitimu wa UD, UDSM finest commnt na hapa
tundu-lissu-2.jpg

Zitto-Kabwe.jpg

mdee1.jpg

Magufuli(56).jpg

MnyikaOfisi(3).jpg

yani tangu miaka hamsini ya uhuru mpaka sasa chuo ndio kimetoa watu hawa tu wenye ufanisi kazini mwa serikali au? basi kama ni kweli hamna chuo hapo! je,ni kweli mnyika ni graduate wa mlimani?

afu mtoa mada hii sio mada ya kisomi,bali ni yakuchafuana kisiasa tu humu,na machuki yako ya kukosa post! yani umekosa hata data star mkuu? daah
 
yani tangu miaka hamsini ya uhuru mpaka sasa chuo ndio kimetoa watu hawa tu wenye ufanisi kazini mwa serikali au? basi kama ni kweli hamna chuo hapo! je,ni kweli mnyika ni graduate wa mlimani?

afu mtoa mada hii sio mada ya kisomi,bali ni yakuchafuana kisiasa tu humu,na machuki yako ya kukosa post!
yani umekosa hata data star mkuu? daah

kaka nashidwa nikujibu nn! Unaponda mtoa mada but still u want some of the action
 
kaka ebu jaribu kufatilia comments na nyuzi za huyu mleta mada. Utagundua there z no making this guy understand ni kwenda nae 2. Take some few secs kupitia...

acha kufuatilia mwanaume kila nachopost na comment zangu humu inafanya nitilie shaka tabia zako
 
Back
Top Bottom