kingxvi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 879
- 151
naanza na samweli sitta muhitamu wa shahada ya sheria pale udsm
huyu mzee alikabidhiwa na mwalimu j.k kuongoza c.d.a Dodoma ili iweze kuwa makao makuu matokeo yake aliwajaza watu wa tabora pale kina rage.wakafuja pesa za miradi mbalimbali mpaka leo dodoma mako makuu yamekuwa ndoto.
msomi huyu wa udsm pia alijenga ofisi ya spika tabora akifikiria atakuwa spika milele