Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Machalii wa chuga Hawa wakishakula kushabu na Chang's iliyofanyiwa packaging nzuri (jambo gin,master na Ndugu zao huwaambii kitu, Madereva malori haswa haswa wa Transit hakuna kitu hawajui
 
ROBERT HERIEL umewasahau Mashabiki wa Simba na Yanga, hawa huwaona wengine wote wajinga ukienda kukaa sehemu yao uwanjani una jezi tofauti wanakutukana na kukupiga, ukiongea kitu tofauti na timu yao wanakuita kolo au nyani, ukiwa sio shabiki wa timu zao wanaona huna maana yoyote kuwepo hapa Tz, hawaamini kama kuna maisha zaidi ya hizo Simba na Yanga zao,....hovyo sana hawa jamaa
 

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Wanakuona umepitwa na wakati
 
Na wewe ni kati ya wanaojiona wajanja JF kwa hoja na mitizamo tata.
 

Sisi tunaokaa na kushinda stendi
 
Kuna na wale wanaoongea kiswahili kwa lafudhi ya kiingereza. Hawa ni wakukaa nao mbali kabisa.

Ili nikusahihishe, watu wote wa JF ni wajanja kweli. Hawajioni wala kujifanya๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Utakuwa umechanganya na watu wa twitter.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aah aah aisee nimecheka sanaaaa.Hasa hapo kindi la wana Jf.

Hahahaaaaa
 
Traffic police...
Hawa wawapo barabarani wanajiona miungu watu.
 
Kuna na wale wanaoongea kiswahili kwa lafudhi ya kiingereza. Hawa ni wakukaa nao mbali kabisa.

Ili nikusahihishe, watu wote wa JF ni wajanja kweli. Hawajioni wala kujifanya[emoji3][emoji3][emoji3]. Utakuwa umechanganya na watu wa twitter.
Ila watu wa twitter daaah!
 
Bila kusahau Sukuma gang na washabiki wa Yanga na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ