Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Nimecheka km chizi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
daah huyu mimi kabla. tofauti ni kwamba mimi itikadi zimeendelea
 
Nimecheka km chizi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu boss, huwa tunakuwa na high expectations tukiwa vyuoni. Lakini maisha yanatubadilisha
 
Hii kuna Mtu Mpangaji wake alikua anamletea kelele kila leo na dharau, kuna siku yule Rafiki yake Mwenye Nyumba alimwambia Mwenye Nyumba wa Jamaa HUYO MPANGAJI WAKO KAPANGA LAKINI ANA NYUMBA 2 NA ZOTE ZA MAANA tangu siku hiyo Jamaa anasema dharau zilikata[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Wale jamaa wa forex sisi wengine wanatuonaga kama mbususu vile [emoji23]
wako mbele ya muda


Bila wasahau hawa forever living and Co
Wengine wanatuonaga hatuko serious na maisha au fursa zinatupita.

Diaspora,wanasheria, bank teller, iphone user.... wadau wametaja huko juu
 
walimu,
hasa wa shule za msingi,..hujiona wametoboa maisha kwa kuwa huchaguliwa kusimamia matukio mbali mbali ya nchi kama sensa na uchaguzi mkuu...

ujanja wao huishia pale wanapodanganywa khs ongezeko la mshahara😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…