Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

Nilivyokuwa chuo na lile boom niliona kila asiyesoma ni mjinga,na asiye na ajira hatumii akili na mvivu!

Ile mijdala na makongamano na zile lekcha za public administration/political science hasa umkute Dr Bashiru anapiga pindi huku anakosoa serikali ya Jakaya,nilijiona Dunia yote naifahamu,mwanamapinduzi,mkombozi ninayeenda kupambana na uzembe,rushwa,ufisadi na takataka zote!

Dah..nipo halmshauri ya wilaya fulani napambana na wahasibu,kesi za walimu watoro,walevi,madiwani wa darasa la saba.....zaidi majukumu yamenifanya nisahau zile itikadi zote za chuoni.

Kipesa chochote kitakachokatiza,kiwe cha halali ama vinginevyo vyote vinahalalishwa
Nimecheka km chizi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
daah huyu mimi kabla. tofauti ni kwamba mimi itikadi zimeendelea
 
Nimecheka km chizi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu boss, huwa tunakuwa na high expectations tukiwa vyuoni. Lakini maisha yanatubadilisha
 
13.Wapiga vinanda kanisani

Wao hudhani bila uwepo wao kanisani, misa haiwezi kuendelea, na kama itaendelea basi haitanoga. Wanapenda kubenmbelezwa

14. Wenye nyumba

Huwanona wapangaji Kama nyani tu

15. Wamiliki Toyota crown

Wanaweza kuvimbiana hata na trekta wakiwa barabarani.Hujiona km wanaendesha ndege
Hii kuna Mtu Mpangaji wake alikua anamletea kelele kila leo na dharau, kuna siku yule Rafiki yake Mwenye Nyumba alimwambia Mwenye Nyumba wa Jamaa HUYO MPANGAJI WAKO KAPANGA LAKINI ANA NYUMBA 2 NA ZOTE ZA MAANA tangu siku hiyo Jamaa anasema dharau zilikata[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Wale jamaa wa forex sisi wengine wanatuonaga kama mbususu vile [emoji23]
wako mbele ya muda

Bila wasahau hawa forever living and Co
Wengine wanatuonaga hatuko serious na maisha au fursa zinatupita.

Diaspora,wanasheria, bank teller, iphone user.... wadau wametaja huko juu
 
walimu,
hasa wa shule za msingi,..hujiona wametoboa maisha kwa kuwa huchaguliwa kusimamia matukio mbali mbali ya nchi kama sensa na uchaguzi mkuu...

ujanja wao huishia pale wanapodanganywa khs ongezeko la mshahara😀😀😀
 
Back
Top Bottom