Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Jwtz zamani nidhamu ilikuwa juu sana, ila baada ya kamkete kuwa wengi utoto, ujinga umekua mkubwa18. Kundi la maaskari (JW, Traffic Police, TISS, Zimamoto, Magereza, Mgambo, Suma JKT
Hii hulka ya kutaka kupenda misifa sijui wanafundishwaga wapiHiyo no 4. Hawa ma Dr na PhD ndiyo balaa utazani wamesoma ukoo mzima wakati kachomoka yeye tu nfugu zake wengine mambulula tu lakini sasa wanavyo kashifu wengine!
π π π πWanaosafiri kwa ndege hasa safari za ndani ya nchi
Hawa nao bwana hatujawaacha nyuma, unakuta kapiga zake kikaptura kifupi, vimiwani vya mchongo, kabegi kadogo ka kuburuta, visendo na visoksi vidogo halafu pembeni yuko na neck pillow eti asiumie shingo (safari yenyewe DAR-KIA) ... Tunavyowaona utasikia na swagaa zao ''about to take off, Home sweet home mara arrived safe in DAR'' yaani vurugu vuruguβ¦ Tusiopanda ndege tunabaki kusonya tuβ¦..
Hapo mkuu umenisema, niliwahi kuwa na hii tabia [emoji119][emoji23]Alafu kuna wale wakikamata seat ya Dirishani safari za mikoani..
Aisee!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwakuta kwenye hizo Jogging zao wako mistari ya nyuma wanatembea na kupiga storyKabisa. Wanaumbea mwingi sana wakituona wenye vitambi wakati na wao wanavyo na pamoja na jogging zao vimegoma kutoka[emoji1787]
Okay [emoji847]hovyo
Hata kama ni wewe Upate bahati ya milioni 30 kwa Jero utaacha kuvimba?kwa hiyo wanaobeti wanajiona
Tusiojua kucheza Amapiano na kuvuta shisha kama dragon tunaonekana kitukoWale wa Amapiano na Shisha.
Kuna mmoja mfupi hivi ndio alimleta marehemu baba wa taifa mlevi mlevi sijui km bado mzima.Hujataja Marubani hapo... kuna baadhi yaani daah malimbukeni kinoma.
Sijui kwann maisha hayako fair mpaka level hii?
Maana haya mayebo akivaa msichana wa kichina au kikorea au kijapani anatokelezea kwel yan anakua kama kamdoli..ila sasa akivaa mwajuma wa yombo dovya au Salome wa boko magengeni yaam unaona kabisaa kero!![emoji23]
Inasemekana watu wakimya ni wazee wa risk taker.. Is it true?Mimi ni mmoja ya watu wakimya ila sipendi hiyo hali. Sababu ni hii: ikitokea kuna issue imetokea mtaani au kazini na ukihadithia watu wanapenda kusema..."kwa kuwa amekuona wewe mpole ndio maana akakuambia hivyo au akakufanyia hivyo"....ingekuwa mimi pangechimbika. Hivyo nikaanza kuona upole na ukimya kwa baadhi ya watu unatafsiriwa kwamba ni ubwege, uzubaifu, uoga, kutokuwa na uthubutu, ufala, uboya.
Hivyo pamoja na ukimya wangu sasa ninajitahidi kuchangamka na kujichanganya. Na pia, nimeanza kuwa na complications za maisha na kuwa mkorofi kiasi.
Wakija kwa wenye fani zingine kuhitaji usaidizi utawaonea huruma* Wanafunzi wanaosoma law chuoni - hawa hujiona wao ndio wasomi na wengine wababaishaji tu.
*Wanafunzi wanaosoma medicine all departments - nao hao hujiona ndio wamiliki wa elimu yaani elimu ipo kwa ajili yao tu.
Tena wanazunguka kila mara kukuuliza Hii imeisha, tuongeze...?Wanashindwa hata na baa, unaenda kunywa bia unakuta kaunta moja wahudumu wanne.
Mkuu na wewe kumbe una uzoefu nao..hahaha miyeyusho sanaBora basi na hao wawili wapige kazi kwa moyo wote ila atakuwepo mmoja hakai akatulia kwenye dirisha lake, kila muda ni kunyanyuka na kuzunguka zunguka tu mule ndani.
Anabakia mmoja aliyeko serious....[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio kawaida ya Penzi jipya, huwa tunawapa muda [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wale wakiwa kwenye penzi utazani wao ndo wa kwanza ama wa mwisho kuwahi kupendana. Kila dakika bby sijui honey etc...
Aaah ndugu yangu acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu zile enzi zako za first to reply kila uzi uliyapatia sana maisha.