Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Ma Teller wa Bank washatajawa, ila nakazia.

Huwa wanajiona wameyapatia sana Maisha
 
Mkuu umewasahau hawa:
-Wanaokanyaga wese kwa Mwamposa
-Machalii wanaoshabikia Utopolo.
 
Kuna fursa zipi huko kwenu za ujasiriamali au biashara utaotuletea maendeleo?

Kwetu huku sasaa hivi msimu wa maenmbe umeanza, ukiinga mashamba ni ubwete, ukipeleka sokoni mjini Dar, hukosi faida.
Bila shaka wewe utakuwa bilionea kama muda wote unaongelea fursa
 
Plus

Nurse on duty & teacher on duty hawa watu achana nao kabisa ukiwakuta kwenye 18 zao[emoji23][emoji23]
 
Ushawahi kukutana na wale ASKARI wa JKT kwenye mageti? Pale kituo Cha mabasi au sehemu kama vyuoni? Hahaha wako na level ya stress kubwaaaaa
Nilishawahi kukutana nao, wale hawanaga shida ukiwasikiliza na kutii wanavyosema.. Ukijichanganya tu ndio wanavimba [emoji1]
 
Kawe mpaka mbagala sio mchezo naelewa bro


Huo wimbo sina access
 
Hapa kuna ukweli niliwahi shuhudia hiki kitu pia
 
WANA JF especially wana MMU. Wao kila thread ni utani, kujibebisha na mizaha. Lila thread wataitana kwa kutagiana a kuanza kujibebesha. Mara umepika nini, mara sgem darling na upuuzi mwingi. Wanaboa sana na wanaona wameyapatia kweli.
Hahaha ukweli mtupu...kiJF JF ni sawa utafanyaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…