Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Ma Teller wa Bank washatajawa, ila nakazia.

Huwa wanajiona wameyapatia sana Maisha
 
Mkuu umewasahau hawa:
-Wanaokanyaga wese kwa Mwamposa
-Machalii wanaoshabikia Utopolo.
 
Kuna fursa zipi huko kwenu za ujasiriamali au biashara utaotuletea maendeleo?

Kwetu huku sasaa hivi msimu wa maenmbe umeanza, ukiinga mashamba ni ubwete, ukipeleka sokoni mjini Dar, hukosi faida.
Bila shaka wewe utakuwa bilionea kama muda wote unaongelea fursa
 
Plus

Nurse on duty & teacher on duty hawa watu achana nao kabisa ukiwakuta kwenye 18 zao[emoji23][emoji23]
 
Ushawahi kukutana na wale ASKARI wa JKT kwenye mageti? Pale kituo Cha mabasi au sehemu kama vyuoni? Hahaha wako na level ya stress kubwaaaaa
Nilishawahi kukutana nao, wale hawanaga shida ukiwasikiliza na kutii wanavyosema.. Ukijichanganya tu ndio wanavimba [emoji1]
 
Namba 15 hapo najiona mimi kabisa. Fa mchezo na safari ya Kawe Mbagala tena hiyo ni deile, na earphones zangu hapo kama sio muvi basi ni mziki mkubwaaa!


Enewei kama una access ya kupata ule wimbo mpya wa Voda wa mtandao supa niwekee hapo nimeupenda
Kawe mpaka mbagala sio mchezo naelewa bro


Huo wimbo sina access
 
Ni hatari rafiki .

Huku wewe ni daktari pekee kwenye kituo cha Afya ila ukitoka na staff wenzako mkaenda kwenye mikusanyiko hawataki kujitambulisha kuwa wao ni manesi , lab technicians wanasema wao ni madaktari na mbwembwe nyingi unaishia kucheka tu .

Sasa unakuta mpaka mpaka wewe daktari wa kweli wanakijiji wanakudharau ila wanawaheshimu majunior wako .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hapa kuna ukweli niliwahi shuhudia hiki kitu pia
 
WANA JF especially wana MMU. Wao kila thread ni utani, kujibebisha na mizaha. Lila thread wataitana kwa kutagiana a kuanza kujibebesha. Mara umepika nini, mara sgem darling na upuuzi mwingi. Wanaboa sana na wanaona wameyapatia kweli.
Hahaha ukweli mtupu...kiJF JF ni sawa utafanyaje sasa
 
Back
Top Bottom