PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Usije muamini mwanadamu ,mpe Qiyasi tu...nilikua namheshimu Rusaganya balaa...lakini toka nimeskia uharo wake!nilimshusha hapo hapoo ptuuuu
Binafsi ni Mkristo ila katika mashehe niliokuwa Nawapenda na kuwaheshimu ni pamoja na huyo mzee, yule mwingine sijui anaitwaga somebody "Jilala" sijui ni wa Ahmadiya alafu na Kishki.

Huyo mzee nimemdharau na upendo wangu kwake umeisha rasmi. Sijui alikula maharage ya wapi siku ile.
 
Mbona Warioba anajilia ugali wake fureshi tu bila hata kulamba watu makalio!
huwez jua huenda yupo na ukaribu zaid na mr, born town au yey pia ni msuka mipango.
Siasa usimwamin mtu asee ni uchafu kwandan ila nje ni uzuri
 
Na Ponda heshima yake itapungua akiendelea kuungana nq lile snitch la kigoma
 
Sijaelewa wewe umewafanya nini?
 
Sijaelewa wewe umewafanya nini?
Wewe ni mgeni hapa JF? waulize wenyewe watakuambia ....huoni siku hizi hawafungui tena nyuzi za dini ...ilikuwa kila siku kina FaizaFoxy wanakuja na nyuzi za kuonyesha ukristo ulivyo na mapungufu na makosa nk ...ila siku hizi wamekimbia hata ukiwatag awajitokezi si waumini wala mashekh wao ....
 
Toka lini wameanza kukimbia ni baada ya uchaguzi au?
 
Mzee Warioba amesimama pale pale....huyu mmòjawapo wa kumuamini kwa sasa.......wengine daaa ni shida ßana njaa tamaa uchawa ni aibu kubwaaa
 
Toka lini wameanza kukimbia ni baada ya uchaguzi au?
Baada ya mimi kuja kuwajibu na kuwauliza maswali....sasa hivi unaweza kukaa miezi hakuna muislamu ana leta nyuzi za dini hapa jf wala anaye jihita shekh aliye tayari kuulizwa maswali ...
 
Hapo 01 tuzidishe dua
 
Nafikiri sababu yupo ndani ya mfumo anakosa ujasiri. Siku zote anangata na kupuliza.

Bora angekaa kimya tu kuliko kujitia aibu kwasababu watu wanaotoa support kwa serikali hii kwa sasa ni aidha ni malofa wasio na elimu au wezi. Sasa sijui tumuweke kwenye kundi gani?
 
Bora angekaa kimya tu kuliko kujitia aibu kwasababu watu wanaotoa support kwa serikali hii kwa sasa ni aidha ni malofa wasio na elimu au wezi. Sasa sijui tumuweke kwenye kundi gani?
Chagua.
 
03. Mzee Azim Dewji (baba Mo) huyu mzee alisema Pole pole anatafuta kiki huyu mzee anajishushia sana heshima kulinda uraia na biashara zake... Yupo radhi alambe miguu ya viongozi wa CCM

Azim Dewji sio baba yake MO...

Hata hivyo Azim ni mbogamboga kindakindaki miaka yake yote tokea akiwa kijana, wafanyabiashara wa 'kaliba' yake ndio wafadhili wakuu wa mbogamboga...
 
Baada ya mimi kuja kuwajibu na kuwauliza maswali....sasa hivi unaweza kukaa miezi hakuna muislamu ana leta nyuzi za dini hapa jf wala anaye jihita shekh aliye tayari kuulizwa maswali ...
Kwani wewe ulianza lini kuwajibu na wao hizo nyuzi zao walianza kipindi gani kuzileta humu? Maana wewe naona umejiunga toka 2015, nauliza hivyo kwa sababu mada za mabishano ya kidini zina muda mrefu hazinaga mwisho.
 
Ukizaliwa muhuni ni muhuni tu, Urais ilikuwa accident tu ; kwa viwango vyote hakustahili na ndio maana classmate wake marehemu Dr. Abdalla Kigoda alimdharau mpaka anaingia kaburini. Mpaka Kikwete mwenyewe akaogopa hata kuhudhuria mazishi yake!!
Uko sahihi. Kikwete alipata urais kwa sababu ya makosa ya Mkapa. Mkapa alikuwa blackmailed kuwa CCM wasipopitisha jina la Kikwete, nchi inaenda upinzani. Pia alizubaa na kuwaacha waunde mtandao ambao alishindwa kuu-control. Mbona Kikwete mwenyewe aliweza kumfanyia uhuni Lowassa japo alikuwa amenunua katibu wajumbe wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…