PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbowe ameniuma sana... mzee kumbafu.
Toka enzi za bills mpaka uchadema. Na kinachouma kaingiza vijana wengi matatizoni wakijua wanapambania haki kumbe wanapambania tumbo lake
MBOWE nilianza kumstukia mwaka 2010 mapema sanaa...ni tapeli aliyesababisha vifo vya watoto wa watu wengine...Ndio maana Lema alishamwona ni bonge la SNITCH
 
Umewasahau wazee wote walio apishwa uwaziri wakijua fika hawakushinda kwenye uchaguzi na wala hawakuchaguliwa kihalali.
 
huwez jua huenda yupo na ukaribu zaid na mr, born town au yey pia ni msuka mipango.
Siasa usimwamin mtu asee ni uchafu kwandan ila nje ni uzuri
huyu mzee yupo smart sana ccm wangemsikiliza ushauri wake haya mauaji yasingetokea kabisa alijitahidi sana kupambania hilo tafuta kumbukumbu zake
 
Miaka kama 7 ...mada zimesha kufa kwa wale waislamu waliokuwa magwiji wa mijadala ya dini ...wamekimbia awathubutu kuleta mada tena ...ukiona muislamu kaleta mada ujue huyo ni mgeni hapa JF
Kipi kinakufanya uone kwamba wamekukimbia wewe na si kwamba ni kupotea tu kwa hizo mada ndio kunafanya kutoona tena hizo mada zao tena?
 
Kipi kinakufanya uone kwamba wamekukimbia wewe na si kwamba ni kupotea tu kwa hizo mada ndio kunafanya kutoona tena hizo mada zao tena?
Nilipo kuwa nawajibu na kuwauliza nilikuwa nawatag kabisa mwazo walikuwa wanakuja kama nyuki na maswali na hoja baada ya kuona wamezidiwa wamekimbia wote pitia zile nyuzi za dini sehemu nilipo kuwa naongea nao ninazo screenshot zao wenyewe walikili siyo mimi ....
 
MBOWE nilianza kumstukia mwaka 2010 mapema sanaa...ni tapeli aliyesababisha vifo vya watoto wa watu wengine...Ndio maana Lema alishamwona ni bonge la SNITCH
Ni mbwa sana... ukitegemea hata hakua masikini na wala hajatoka familia masikini, tamaa tu na roho mbaya.
 
Ni mbwa sana... ukitegemea hata hakua masikini na wala hajatoka familia masikini, tamaa tu na roho mbaya.
Ana Roho mbaya sana, kiboko yake alikuwa Sabaya, japo wote Madhalimu ila Sabaya alimnyoosha huyu Snitch
 
huyu mzee yupo smart sana ccm wangemsikiliza ushauri wake haya mauaji yasingetokea kabisa alijitahidi sana kupambania hilo tafuta kumbukumbu zake
selikalin weny busara bdo wamo sema wanapuuzwa sana.
na wakishupaza shingo hupotezwa
 
Hilo ni moja ya mzee mitahira inayohishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…