Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Msemaji mkuu wa Hamas anayeishi Lebanon ameweka wazi kuwa kundi lake la Hamas limefuta mpango wa kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa kipalestina kabla Israel haijaacha vita na kuondosha vikosi vyake vyote Gaza.
Sharti jengine ni jeshi la Israel liondoe vizuizi vyote vya watu kurudi kwenye majumba yao waliyoyakimbia maeneo yote ya Gaza.
Awali msemaji mwengine wa Hamas ambaye alishirikia kikao cha Cairo ambacho Israel ilitaka ioneshwe orodha ya mateka wali hai mwanzo, alisema sharti la Israel kuacha vita kwanza kabla mateka kuachiwa ni muhimu kwani mateka hao wameshikiliwa na vikundi tofauti na inahitaji utulivu ili kuwakushanya na kuwakabidhi.
Mwishoni mwa taarifa yake hiyo Osama akiwa Beirut ameiambia Marekani kuwa kilicho muhimu kwake ni kuacha kuipelekea Israel silaha kuliko kudondosha chakula kwa ndege.