Osama bin Hamdan wa Hamas asema hakuna kuachia mateka kabla Israel haijatekeleza matakwa yao

allah angekuwa na nguvu za kuwasaidia angeshawasaidia miaka 70 hii walamwomba. shida ni kwamba wanamwomba mungu asiyeonekana wala haokoi, sio mungu wakweli huyo, ni uongo tu mood aliutunga akaleta ushetani wake unaosumbua dunia hadi leo. dunia ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi kama hii dini ya mood isingekuwepo.
Umezungumza maneno mabaya sana nakusihi sana weka hakiba ata kama unauchukia uislamu kwa kiwango hicho. please please please., Mungu atuongoe sote. Hayo ni maneno karibu yanafanana na yaliongelewa na watu walioupinga uislamu huko nyuma na sasa unarudia wewe. nakuomba sana weka hakiba.
 
Unashangaa huyo yupo lebanon? Huyu Alwaz ni msemaji wa hamas kanda ya tandalwa
Israel haijaribiwi, Hamas na Iran wakavute sharabu za USA na maarifa ya Ulaya yenye demokrasia iliyopitiliza ambayo imepelekea kuharibu nchi zao, wengine mpaka wameingia madarakani huku wakiwa na misimamo mikali ya kidini, kwa nchi za Israel, Rusia, China na India, Turkey na Iran, Egypt , Saud Arabia wanajua namna ya kudhibiti hivi vikundi vya watu wenye misimamo mikali ya kidini ambayo inatishia amani ya wengine. Israel ametoa funzo kali sana kwa hamas ,mpaka wamekubali kutema bungo la kuachia mateka kwa kuomba Israel wasitishe vita na kuondoa vikosi vyao huko Gaza. Hamas wamepata faida gani ya kushambulia Israel 7 October? Na je usitishwaji wa vita utaweza kudumu ili amani ya kudumu ipatikane? Usitishaji ungeendana na kutengeneza taifa moja la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina. Vingenevyo ni suala la muda moto utawaka tena baada ya muda,hamas wakishabvuta bangi wataanza kurusha tena rocket kupelekea Israel na vita itaanza tena.
 
Msemaji mkuu wa Hamas anayeishi Lebanon ameweka wazi kuwa kundi lake la Hamas limefuta mpango wa kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa kipalestina kabla Israel haijaacha vita na kuondosha vikosi vyake vyote Gaza.

Sharti jengine ni jeshi la Israel liondoe vizuizi vyote vya watu kurudi kwenye majumba yao waliyoyakimbia maeneo yote ya Gaza.

Awali msemaji mwengine wa Hamas ambaye alishirikia kikao cha Cairo ambacho Israel ilitaka ioneshwe orodha ya mateka wali hai mwanzo, alisema sharti la Israel kuacha vita kwanza kabla mateka kuachiwa ni muhimu kwani mateka hao wameshikiliwa na vikundi tofauti na inahitaji utulivu ili kuwakushanya na kuwakabidhi.

Mwishoni mwa taarifa yake hiyo Osama akiwa Beirut ameiambia Marekani kuwa kilicho muhimu kwake ni kuacha kuipelekea Israel silaha kuliko kudondosha chakula kwa ndege.

Hamas says no exchange of prisoners before Gaza ceasefire

Kichapo kiendelee hizo ni shida zao.
 
Wameshalegea ni suala la muda tu
 
Mimi nashangaa sana,navyojua Hamas walitaka vita na vita inaendelea. Kwani shida iko wapi? Wao waliuwa watu 1200+ kwa masaa tu wakachukua na mateka. Mwenzao anauwa kidogo kidogo... Hamas waachwe wapigane mpaka washinde ISITOSHE walijiandaa mda mrefu wakachimba na mahandaki yakutosha wakaandaa na MAELFU ya rocket yote....mwisho wa siku wakavamia Israel.
Kweli kabisa. Hamas walisema kuwa IDF wakijaribu kuingia Gaza watachinjwa na hawatarudi. Ajabu ni kuwa leo wanaomba ufooo.
 
allah angekuwa na nguvu za kuwasaidia angeshawasaidia miaka 70 hii walamwomba. shida ni kwamba wanamwomba mungu asiyeonekana wala haokoi, sio mungu wakweli huyo, ni uongo tu mood aliutunga akaleta ushetani wake unaosumbua dunia hadi leo. dunia ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi kama hii dini ya mood isingekuwepo.
Umenena vema mkuu. 1 WAFALME 18:27. mungu asiyejibu ...
 
Na si uongo
Allah ndiye mshindi daima.
Tatizo anachelewa sana. Watu wanaumizwa toka mwaka 1948 hadi leo. Wapalestina zaidi ya ml. 5 wapo ukimbizini. Wayahudi wanamshukuru Mungu wao YEHOVA kwa kuwapa ushindi daima sasa yeye allah haoni wivu?.
 
Yule Ubaida sijui Yuko wapi, kujifanya vishababi kumbe vinajificha kama mwali anayefundwa chumbn akisubiri mume siku ya kuolewa.
Si walisema wanakwenda kuwaokoa mateka wao na kuwamaliza Hamas
Sasa mbona wanawaomba warudishiwe na Hamas ndio hao wapo na wanaendelea kutoa takwimu na maazimio.
Sasa nani ni nani hapo?
 
Msemaji mkuu wa Hamas anayeishi Lebanon ameweka wazi kuwa kundi lake la Hamas limefuta mpango wa kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa kipalestina kabla Israel haijaacha vita na kuondosha vikosi vyake vyote Gaza.

Sharti jengine ni jeshi la Israel liondoe vizuizi vyote vya watu kurudi kwenye majumba yao waliyoyakimbia maeneo yote ya Gaza.

Awali msemaji mwengine wa Hamas ambaye alishirikia kikao cha Cairo ambacho Israel ilitaka ioneshwe orodha ya mateka wali hai mwanzo, alisema sharti la Israel kuacha vita kwanza kabla mateka kuachiwa ni muhimu kwani mateka hao wameshikiliwa na vikundi tofauti na inahitaji utulivu ili kuwakushanya na kuwakabidhi.

Mwishoni mwa taarifa yake hiyo Osama akiwa Beirut ameiambia Marekani kuwa kilicho muhimu kwake ni kuacha kuipelekea Israel silaha kuliko kudondosha chakula kwa ndege.

Hamas says no exchange of prisoners before Gaza ceasefire

Mbona Israel haikuwa Cairo jombaa walikuwa wanaongea wenyewe.
 
Hili jina la Osama sio la kumpa mtoto kwani uwezekano wake mkubwa ni kuwa gaidi. Sisi waafrika ni mataahira sana hata majina yetu eti hatutaki na badala yake tunatumia majina ya watu wa kuja. Very shameful.
 
allah angekuwa na nguvu za kuwasaidia angeshawasaidia miaka 70 hii walamwomba. shida ni kwamba wanamwomba mungu asiyeonekana wala haokoi, sio mungu wakweli huyo, ni uongo tu mood aliutunga akaleta ushetani wake unaosumbua dunia hadi leo. dunia ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi kama hii dini ya mood isingekuwepo.
wewe ni mungu yupi uliyewahi kumuona kwa macho na ambaye anakusaidia? Acha kukariri vitu vya kipuuzi vilivyoletwa wakoloni wazungu na waarabu
 
Back
Top Bottom