Oscar Oscar: Simba haitakuja kupata mafanikio makubwa

hajawahi ongea point hachambui anatoa tuvichambo tu kwa timu zote
 
Ni sahihi kabisa, viongozi wa simba sc ni makubwa jinga
 
Kuhusu viongozi wa Simba nakubaliana naye lakini Hilo tatizo halipo Simba peke yake hata yanga pia Wana tatizo Hilo mfano sakata la kulipwa kocha Eymael ni kitu ambacho kinajulikana lakini wamekaa kimya kitu kinachoweza kupeleka yanga kupata adhabu pia usajili wa baadhi ya wachezaji kama yule waliyedanganya alikuwa anacheza Epl kwa kifupi viongozi wa hizi timu hawapishani
 
Hivi Andre Mtine ana miaka mingapi, maana mmekalia vijana vijana. Yule ndiyo anajua na anaelekeza kila kinachofanywa na hao kina Hersi mnaowasifia.
 
Hatuna haja na historia ya kufika CAFcc , tunachotaka ni kutuonesha kombe la CAFcc .Kama hamna hilo kombe , kaeni kimya maana hakuna kombe la mshindi wa pili.
[emoji966] medali zipo
 
Ali kamwe kashalijibia hilo mbona
 
Hivi Andre Mtine ana miaka mingapi, maana mmekalia vijana vijana. Yule ndiyo anajua na anaelekeza kila kinachofanywa na hao kina Hersi mnaowasifia.
Pia wazee lazima wawepo
 
Mimi naungana na Oscar viongozi wa Simba hakuna kitu mule ,Taarabu nyingi sana vitendo Sifuri.
Hii Timu bora angeinunua Bakresa tu ila sio huyu muhindi
[emoji23][emoji23]mudi Mzee wa kususa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…