Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.
Chakusikitisha ni kuwa jamaa hana hata kitambulisho cha nida achilia mbali pasport. Imagine mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuwafundisha watoto elimu ahera.